Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unakuwa Celeb JF na unapata reactions nyingi kwa kupost vitu visivyo na staha. Halafu ukiwa nje ya JF kwenye maisha yako halisi unakuwa mtu mwenye msongo mkali wa mawazo.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Me huyo nina msongo wa mawazo??!!!! Aiseee!! Basi wewe utakuwa na MSUNGO

Afu usinipangie cha kupost sawa!!! Endelea kujitibu macho bro
 
20230824_130306.jpg

Wale tuliokuwa nao miaka ile ya 1967 watakuwa wanakumbuka mtindo huu wa mavazi ukiitwa kwa jina maarufu la Chai Maharage🤪

Kweli tumekula chumvi nyingi 🤗
 
Nasubiri granpa [emoji4][emoji4][emoji4]
Tayari Mjukuu

Ila ungekuwa karibu ungenisaidia kuvuka barabara leo, kuna Kilabu cha jirani nataka nikanywe na Wazee wenzangu sasa kuvuka ndiyo changamoto 🤪
 
Tayari Mjukuu

Ila ungekuwa karibu ungenisaidia kuvuka barabara leo, kuna Kilabu cha jirani nataka nikanywe na Wazee wenzangu sasa kuvuka ndiyo changamoto [emoji2957]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Babu mwenzio niko katoro huku hata daslama sijui inafananiaje ndo nitaweza kukuvusha barabara kweli??

Labda nikuitie cocastic na Antonnia wao ndo wanakaa town babu yangu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] babuu katishaaa!!! Na jf yote yake ndiomana anagawa ajira km njugu dadeq
Ajira woyeeeee!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu na Ajira zao mjiniii. Woiiiiiiih
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Babu mwenzio niko katoro huku hata daslama sijui inafananiaje ndo nitaweza kukuvusha barabara kweli??

Labda nikuitie cocastic na Antonnia wao ndo wanakaa town babu yangu
Kwa kweli, bora waje wanisaidie Babu yao kuvuka barabara

Maana kwa Uzee huu hata kuona magari wakati wa kuvuka inakuwa shida 🤪
 
Back
Top Bottom