Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Babu mwenzio niko katoro huku hata daslama sijui inafananiaje ndo nitaweza kukuvusha barabara kweli??

Labda nikuitie cocastic na Antonnia wao ndo wanakaa town babu yangu
Niko Linguse nguse huku, hata barabara hatuijui, tunatumia njia ya vichochoro ilojaa umande tupu.

Town wapiii nakokujua mie? Songea town enyewe had nikiumwa ndo niende pale mkoani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa kweli, bora waje wanisaidie Babu yao kuvuka barabara

Maana kwa Uzee huu hata kuona magari wakati wa kuvuka inakuwa shida [emoji2957]

Watakuja hao kila chocho ya daslama wanaijua ushindwe wewe tyuuu!!! Ila uwe makini nao kwenye pesa wamekaa vibaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Babu km babu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Babu umbea unaniwasha mwenzio!!! Nisije kuongea kitu bure [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Ongeaa uduguuu, kuwa free waogopa nn??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watakuja hao kila chocho ya daslama wanaijua ushindwe wewe tyuuu!!! Ila uwe makini nao kwenye pesa wamekaa vibaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unanioneaaaa!!! Kwa sauti ya Marioo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niko Linguse nguse huku, hata barabara hatuijui, tunatumia njia ya vichochoro ilojaa umande tupu.

Town wapiii nakokujua mie? Songea town enyewe had nikiumwa ndo niende pale mkoani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe wa daslama bana me ndo wa bush huku ndalambo
 
Ongeaa uduguuu, kuwa free waogopa nn??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Babu hana baya sitaki kumtia kisukari, me namtania tyuuu!!! Si unajua babu na wajukuu kutaniana lazima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Babu msuli unaweza kukaa pembeni, ukaona busha [emoji1787][emoji1787][emoji1787] afu unamwambia, “Babu naomba mpira huo nikachezee” na akaishia kucheka tyuuu!!
 
Watakuja hao kila chocho ya daslama wanaijua ushindwe wewe tyuuu!!! Ila uwe makini nao kwenye pesa wamekaa vibaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante kwa tafadhari Mjukuu, nitajitahidi kuilinda wallet yangu 🤗
 
Hapana nyie wajanja mno babu awe makini na pochi lake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua kwann nachekaaa? Humu watu watakufa wamechokaa sanaaa.

Umechelewa kuja selfika, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Babu hana baya sitaki kumtia kisukari, me namtania tyuuu!!! Si unajua babu na wajukuu kutaniana lazima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Babu msuli unaweza kukaa pembeni, ukaona busha [emoji1787][emoji1787][emoji1787] afu unamwambia, “Babu naomba mpira huo nikachezee” na akaishia kucheka tyuuu!!
Chiziii kweliii wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna babu wa ajira, na babu wa maokotooo.

Unatembeaa na yupiii??
 
Back
Top Bottom