Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nigawie maokotooo

Tumeambiwa na Chino tufanye kazi tutafute pesa zetu tuache kutumika hovyo!!!! [emoji38][emoji38][emoji38]

Sasa hapa ndo najitafuta ili nisije kukutwa na bwana Pepsi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Subiri mtaji ukue ndo nikutoe, ss hivi naujaza ukue ukue
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata tukiwa na pesa zetu, tutatumika km kawaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu alikua kipenzii chao. Woiiiiih

We sema kweli?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie babuu bas itabidi aje kwangu tu ila kwanza aoge atakate [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata tukiwa na pesa zetu, tutatumika km kawaaa.

Kwani natumia wa mtu Mxxiewwww!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Natumia wa kwangu na kazi yake ni hiyo tyuuu!!
Tena nachagua wa kumpatia, muda gani na lini[emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Kikubwa akidhi vigezo vyangu!!!!
 
Back
Top Bottom