YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Sisi Ni familia, ila wide SI alikuambia punguza umbea na vijembe[emoji850][emoji848]
Mwambie kwanza ajitahidi anitie mimba ya twins nishinde nakula embe mbichi na juice ya ukwaju [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuna miezi 4 hata mimba hakuna sa ndio nini??[emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]