Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,318
Hahahaha....................unanitisha Mjukuu, lakini ukiingia ofisi ya Waziri Mkuu hapo nje kabla hujakutana na Walinzi kuna boksi la kutoa maoni Mjukuu, hebu fanya hivyoBabu km babu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Babu umbea unaniwasha mwenzio!!! Nisije kuongea kitu bure [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Miaka ile ya 47 tulikuwa tunasema usimwage mchele kwenye Kuku wengi 🤪