Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,409
- 102,314
We uko kwenye 47-55 Hapo, Leo ndo nime juaaa ukweli😂😁Kwa kweli, maana hata kumbukumbu zimeanza kupotea.
Imagine Juzi nilikuwa nalipia huduma fulani, badala ya kulipa mara moja si nikalipa mara mbili huduma hiyo hiyo bila Kujua
Kwa kweli nimezeeka 🤪🙌