Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee huogopiii? Ananiachaga hoi mikwara koko yakee, naishiaga kuchekaa tyuuh.

Mikwara mbuzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lipo km zombiii afu sijui hajishtukii km age imevuka kwenye kuvuta oxygen ya ujana
Ss hivi anatakiwa apewe kipindi bonyokwa primary asimulie watoto jinsi walivyopigana na mkoloni [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waje niwape kipako wang’ae mpk kwa bibi sio unakua na rangi 2 km tetracycline [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kitambi km jeneza la mtoto unaenda km unarudi, miguu imepinda km beki wa kagera [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Uduguuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbavu zangu miee woiiiii,
Rangi ya mtume inakupa jeuri? Utamwagiwa oil chafu
 
Rangi huitaji kuinadi yenyewe inajiuza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Afu hutumii mwanga kuniona hata nikijificha

Kazi ipo kwa black mamba akicheka meno yaonekana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka kuna mate alikua ananifatilia, bas anasema "wee hiyo rangi sihitaji torch, ni kugusa tyuuh penyewee"

Watu na rangi zetu mjini, afu soko tunaloo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Soko letu halijawahi kuyumba sisi km dollar tunayumbisha shillings (black mamba) tunavyotaka yani!!! Muda gani ishuke ni sisi tunaamua

Emu tujipigie makofi tafwazaliiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka kuna mate alikua ananifatilia, bas anasema "wee hiyo rangi sihitaji torch, ni kugusa tyuuh penyewee"

Watu na rangi zetu mjini, afu soko tunaloo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Soko la wapi we LG,
Anayekufuatilia hajitambui, Eti soko unalo, unajiuza?
 
Back
Top Bottom