Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Hehehe jamani😅Yah wa evening classes😂😂😂😂
Hehehe jamani😅Yah wa evening classes😂😂😂😂
Weee nikila hela ya huyo mtu itakua sipendi maisha yanguNauli utakula labda nimuombe Kibungo akupe😅😅🏃🏃🏃
Najua ya kibungo huwezi kula
Utaitapika
HahahahaHuu uzi nime left😬😬
Ninaendelea na Kliniki. Naendelea vizuri Alhamdulillah lakini lazima nizangatie maelezo ya madokta .Jamani pole sana hkufanikiwa kutibiwa?
😌😌Hahahaha
nyama yangu 😡😡Huu uzi nime left😬😬
😬😬😬🏃🏿♀️🏃🏿♀️
Ukikasirika unapendeza sana 😁😁nyama yangu 😡😡
acha ukorofi basi 😬😬😬😬😬Ukikasirika unapendeza sana 😁😁
Huku na force tu, napenda sana kuishi Arusha😌. Kwahiyo napataje hiyo nyama?Inabidi uhamie Arusha tu
Dar hapakufai kabisaaa
Duh!@Nyama nitaituma kwa njia ya barua pepe😬
🤣🤣Weee nikila hela ya huyo mtu itakua sipendi maisha yangu
Tuma wewe bana, niile vizuri😋
Najua hautakua na la kunifanya🤣
vyovyote vile ili ifike 😬😬😬😬😬Nyama nitaituma kwa njia ya barua pepe😬
Usijali pacha wangu.. huyo ni mwizi sana kaleta maagizo na kaniibia vitu, nina msaka kwa udi na uvumbaPacha how's you, ulipata maelekezo yangu kutoka kwa Intellingence?
Kesho jiandae kuipokea😬vyovyote vile ili ifike 😬😬😬😬😬
Gari za nini hizo😀😃😬😬😬🏃🏿♀️🏃🏿♀️
😒😒😒😒 ukidanganya nakuja post picha zako hapo 🤣🤣🤣Kesho jiandae kuipokea😬