Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Uduguuu nimecheka sanaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una nn na babu migambutiii??

Babu kanikwaza kusema kuna ajira atawapa wadada wa jf afu matokeo yake anawadhalilisha kwa kuwasema muonekano wao eti wabaya!!! Na pic anazirusha kwa member wa humu!!
Km huna ajira ya nini kusumbua mabinti wa watu??

Na nyie mnaotaka ajira kwa babu shauri zenu mnadhalilika niwaambie hivo!!! Mxxiewwww

Babu naingia kwenye novena ila jioni wewe ndio futari yangu mpk uache tabia yako mbovu ndio nitakupumzisha na ukileta fyoko mpdf wako naumwaga SHUBHAMIT
 
mambo mchuchu
 
kwan we mshamba wa manyonyo?
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
manyonyo meupe ni ugonjwa wangu😋
 
Babu kanikwaza kusema kuna ajira atawapa wadada wa jf afu matokeo yake anawadhalilisha kwa kuwasema muonekano wao eti wabaya!!! Na pic anazirusha kwa member wa humu!!
Km huna ajira ya nini kusumbua mabinti wa watu??

Na nyie mnaotaka ajira kwa babu shauri zenu mnadhalilika niwaambie hivo!!! Mxxiewwww

Babu naingia kwenye novena ila jioni wewe ndio futari yangu mpk uache tabia yako mbovu ndio nitakupumzisha na ukileta fyoko mpdf wako naumwaga SHUBHAMIT
Uduguuu nileteee kuleee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Babuu yakoo uko nae winja winjaa, mpumzishe kidogo.
Kumbe naye ana mpdf wake? Hebu urushee hapaa.
 
Me mweusi tii km usiku wa balaa, manyonyo meupe mnayo wachaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wachaga wengine weusii tii km mkaa wa motisha kwa bibi zubeda.
 
Ongeza sautiiiiiii puliiiiizzz
Umesema?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uduguuu nileteee kuleee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Babuu yakoo uko nae winja winjaa, mpumzishe kidogo.
Kumbe naye ana mpdf wake? Hebu urushee hapaa.

Huyu babu nalala naye mbele mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lazima nimkaange kwa mafuta yake mwenyewe
 
Ongeza sautiiiiiii puliiiiizzz
Umesema?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu na weusii wao mjini.
Wanadandia lotion za kujing'arishaaa, rangi ya usiku wa ndondochaa. Ni balaaa.
 
Huyu babu nalala naye mbele mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lazima nimkaange kwa mafuta yake mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee huogopiii? Ananiachaga hoi mikwara koko yakee, naishiaga kuchekaa tyuuh.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu na weusii wao mjini.
Wanadandia lotion za kujing'arishaaa, rangi ya usiku wa ndondochaa. Ni balaaa.

Waje niwape kipako wang’ae mpk kwa bibi sio unakua na rangi 2 km tetracycline [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kitambi km jeneza la mtoto unaenda km unarudi, miguu imepinda km beki wa kagera [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
Back
Top Bottom