cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,288
- 187,945
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I'd yake hii mpya, ila zamani jina lilikua ni hili hili, I'd yake ya zamani ilikua na jina hili pia.[emoji23][emoji23][emoji23] kwani ni nani?? Emu mtaje na id yake ya zamani au ndo kina mshamba na lile kundi lao lililotaka kukufurusha??
Wee kikundi cha kina mshamba hakuna wa kunifurusha mie, sio wao hata kundi lao ambao wako mapapa hawaniwezi, sasa wao vidagaa wanifurushe mie, au wanatafuta umaarufu kupitia mie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]