Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwambaa ankolii wako kafanana na babu migambutiiii?? Wee huogopiiii???

Ankal kaja na pic yake, sijui kaikuta wapi?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee huogopii kuyabanangaaa??

Shetani mwenyewe simuogopi, ndo nimuogope yeye?!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema babuu kwenye lile pdf kajipakulia minyama eti yeye kamla……..?!! Khaaaaaaa!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kamla naniii?? Wee uduguuu bado uko na PDF?? ila JF bhana
 
Wee mie niko town hapa Songea, yaan hata kesho saa 6 tyuuh niko makambako hapoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Njoo afu jmos tunalala Moro tunaenda kucheza walugulu band Florida afu tunamalizia star park [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Jpili tunapanda mjini daslama tukakutane kitambaa cheupe na babu migambuti ndio maeneo yake ya kujidai, tumpelekee ulanzi kutoka ukinga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kamla naniii?? Wee uduguuu bado uko na PDF?? ila JF bhana

Hilo pdf nasubiri chugga man wamvuruge ofisini ashuke nalo dadeq [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Njoo afu jmos tunalala Moro tunaenda kucheza walugulu band Florida afu tunamalizia star park [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Jpili tunapanda mjini daslama tukakutane kitambaa cheupe na babu migambuti ndio maeneo yake ya kujidai, tumpelekee ulanzi kutoka ukinga
Uduguuu nimecheka sanaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una nn na babu migambutiii??
 
Back
Top Bottom