Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,314
Naona mtaalamu wa malipuzi, Ume rejea🤗Soko la wapi we wa kawaida sana.
Naona mtaalamu wa malipuzi, Ume rejea🤗Soko la wapi we wa kawaida sana.
Shida hujui kupika 🤣😂😂🤣🤣🤣 hiyo ndio balaa
Mzumbe chuoni nishafika, itakua napajua uduguuuCoca kuna sehemu Moro kunaitwa Mongwe unapajua? Mzumbe kwa juu milimani
Napika wewe😂Shida hujui kupika 🤣😂😂
Anasema soko analo, la kuuza nini? Halafu alivyo mshamba anaona kuwa mweupe ni upekee sana, mshamba tu.Naona mtaalamu wa malipuzi, Ume rejea🤗
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umekujaaa tenaa? Ulipoteleaa wapii?Soko la wapi we LG,
Anayekufuatilia hajitambui, Eti soko unalo, unajiuza?
Labda uta ishia kupika kwa keyboard 🤣😂Napika wewe😂
Walipue tu mkuu, I mean no malice to nobodyAnasema soko analo, la kuuza nini? Halafu alivyo mshamba anaona kuwa mweupe ni upekee sana, mshamba tu.
Ptuuuuu!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umekujaaa tenaa? Ulipoteleaa wapii?
Unataka kuninunua? Woiiiiiiiih
Naona umeni mic mnoo had umeshindwaa kuvumilia,
Wape salamu. Weraaaaaaah
Wanalima bange kule basi madent ndio chimbo lao la kuvuta moshi wa ki Bob MarleyMzumbe chuoni nishafika, itakua napajua uduguuu
Siku zote jiko ndio msema kweliLabda uta ishia kupika kwa keyboard 🤣😂
Let's bet, if you can do so🤣😂Siku zote jiko ndio msema kweli
wewe unapika?Let's bet, if you can do so🤣😂
Nakuthibitishiaje?Let's bet, if you can do so🤣😂
Ikifika zamu yako ya kulipuliwa uwe mpole 🤣🤣🤣Walipue tu mkuu, I mean no malice to nobody
Mwali kigego umekosa soko, huna hata wa kukupigia mluzi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ptuuuuu!!!!
Wa kulipua mwenyewe, nili mlipua mie tena miaka 2 iliopita, muulize saint Anne akupe taarifa.Ikifika zamu yako ya kulipuliwa uwe mpole [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usinambie?? Emu kumbushia enzi mlipue mpk pacha anayekazia 🤣🤣🤣Wa kulipua mwenyewe, nili mlipua mie tena miaka 2 iliopita, muulize saint Anne akupe taarifa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hana hamu na mie kabisaa.
Ananijia kwa tahadhari, analijua balaa langu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alitamka atanijia maeneo nayopendelea kuwepo sana, na atanipiga risasi, yaan ataniua kwa mikono yake mwenyewe.Usinambie?? Emu kumbushia enzi mlipue mpk pacha anayekazia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alitamka atanijia maeneo nayopendelea kuwepo sana, na atanipiga risasi, yaan ataniua kwa mikono yake mwenyewe.
Uduguuu kuja kumsoma kiundaniii, nilichokaaa
Eti anaandika "ptuuu" "mfyuuuh"
Sasa ana tofauti gan na mie? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msago usio jikubaliiii, mie nihangaike nao wa nn??
Watu weuweeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]