Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariiiii tupuuuu.
 
Ongezaaaa sautiiiii shouzzzzzzzz, ndo nimeingia sasa na mabegi nishatua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weraaaaaa weraaaaaa
 
Saint Anne come this way unaitwaaa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1783][emoji1783][emoji1783]!! Kumbee nawewe mnaa au nimesoma vibaya???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1783][emoji1783]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] picha hazifungukii kwangu sioniii. Mbna napitwwaaa hapaa. Lol
 
Hata Kama mnakulana kiukweli Mimi sioni shida pia.

Unajua unapomfata mtu! Kwa mfano Mimi nikikufuata wewe pm Ni ta deal na yangu tu Huyo cantry hutamskia kwenye mdomo wangu Wala maandishi yangu.

Sasa nahisi shida zinaanzia Mimi na kutaka wewe then namkandia jamaa na sijui level ya undungu na mahusiono yenu.

Na kikubwa kabisa friji za wana jf hazigandishi hili ndilo nililoliona pakubwa
 
Shouzzzzz ndo nakujaa sahiviiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona mikeka ilishushwaaa, hebu nipe codes bas.
 
Maelezo yako hayaeleweki kifupi una kesi ya kujibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maelezo nimeyatoa sana, unajua sijui nisemaje labda wao kina depal na darlin waseme kama tunajuana.

Ni huyu dogo ndio naamini alikua akikuambia huu ujinga na uongo toka zamani kwa fake id

Sijui alifikiria nn.
 
Wee mgenii na selfika huijuii, tuulize wakongwee tukupe in4, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Manjegeka ya upande m1 ambao walishapanga nini kiletwee humu, hata sina mshipaa nao.

Selfika woyeeeeeee
 
Sio hazigandishi tu ni waongo wachonganishi wanaume kama waanwake na wanawake wamechoka hawana kazi wamebaki kuwapigia wenzao majungu Tu
Hawajielewi😂😂😂
Ngoja nilale jana nilikesha
 
Huo ni uongo bro, watongozaji wengi huishia kuniponda huko walivyo wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…