Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Kusurvive jf inahitaji moyo wa chuma akiyanani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
naangalia upo page gani 😅😅😅😅..Kusurvive jf inahitaji moyo wa chuma akiyanani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Doh afadhali aweke hapa na mimi niwajue watu ambao nina mahusiano nao mana siwajui😂Mwambie national akutumie PDF lako ujionee ulivyokiwasha
Mie mwenzio hata sielewi hapa naona mapicha picha😬Hizo habari za uongo anazosambaza hapa ili tu kutafuta attention yawatu humu!! Mbona hajataja hao mmoja baada ya mwingine kataja za wachache tu???
Pandisha mm Nina wachumba 4 na wakewenza2 alafu siwajui pandisha niwajue angalau 😂😂😂Aunt nipandishe mkekaaaa?????
Naomba ulinzi mimi
watu mashetani, sio wabay.. mtu yupo na huby wake wanapaka uongo wa namna ile ?
Nimechekanaangalia upo page gani 😅😅😅😅..
😂😂😂Shusha pdf 😂😂Dah
Nashangaa yangu ya jezi
Kumbe Kuna Makubwa😂😂😂😂😂
Watu washapima watu na darubini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jf😂😂😂😂😂😂🔥🔥🙌
Aiseeewatu mashetani, sio wabay.. mtu yupo na huby wake wanapaka uongo wa namna ile ?
😂😂😂watu mashetani, sio wabay.. mtu yupo na huby wake wanapaka uongo wa namna ile ?
Naomba usinihusishe na upuuzi wenu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!😅😅😅 watu hawajui wapo kwenye mkeka gani.. kama enzi zile shule tokea wanashusha kidogo kidogo kama hii sasa
Aunt mkeka unapanda sasa hivi kaa mkao wa kulaPandisha mm Nina wachumba 4 na wakewenza2 alafu siwajui pandisha niwajue angalau 😂😂😂
Mimi nimesoma humuhumu 😆😆😂😂😂Shusha pdf 😂😂
😅😅😅 nina ma file hapa.. naangalia nani ni nani.. . nachagua tu niachie page ipi. kama loan oficer anapo amuwa kutoa mtonyo au achelewe kidogoNimecheka
Nashindwa kuendelea kusoma
Ngoja nicheke kwanza
Halafu nipo kwenye daladala
Dhambi hizi 🤣🤣🤣🤣🤣
Hadi machozi yananitoka
😂😂😂Mtaachana wakat mnapendana muanze kutupa shida wajumbeAiseee
Nyie😂😂😂😂
Humu ndani au wanataka tuachike🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
ntamuambia unamtafuta mmalizane![]()
😂😂Katika page kumi zangu page 6 pekeyangu ilo uhakika 😂😂Aunt mkeka unapanda sasa hivi kaa mkao wa kula
Yaani kama haupo kwenye huu mkeka basi ukatambikie mizimu wallah🤣🤣