Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,209
- 183,056
Tena nimesikia umesifiwa kwa kusimamia ukucha babuuuu nikupe hongeraa tyuuuu sa nifanyeje???Naona kuna watu wanataka niwape radhi, tangu lini Wazee tukawa na hayo mambo?
Sikuwahi kufikiria kama mtafikia hatua ya kuvunjiana adabu namna hii.
Sijapenda 🤨
Babuu kama ndio mnaambizana na wajukuu zako huko mnikome mieee jf Nishashindwagaa kitrambo sanaa so pulllllllliiiiiiiiizzzzz!!🙌🙌🙌🙌🙌!!