mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,377
- 75,726
sio kweliUpo wewe mlete Penseli lazima atamtaja waliokua wanachat naye tu
sio kweliUpo wewe mlete Penseli lazima atamtaja waliokua wanachat naye tu
Hiii ni serious issue hawa watu hawana kazi za kufanya😅Hapa najiuliza tulipitiana wapi?? Sema me hawanidumbui nishajua ni vikundi vya wapumbavu wachache waliokosa kazi za kufanya, wameshiba wanawaza ngono tyuuu
Doh kama kwa bluetooth sawa[emoji28]
Wote tunajua sisi Wazee Jogoo huwika kwa mwaka mara moja tu, sasa hao mabinti mnataka tuwe nao kwa kazi gani?
Mabinti na vigori ni kwaajili ya Vijana tu,
Huo ni mtazamo wetu Sisi Wazee
Bora wangesema mimi naumwa figo kuliko kusema napitia mademu humu, mana mimi napombe ni damudamu😅" Huyu kapewa gono, yule anaumwa figo, yule ni single mother, fulani ana ngoma kamuambukiza fulani, yule kaliwa sana mwisho kachukuliwa na fulani, wanawake fulani ni low class..."
Hayo ni maneno ambayo huwezi kusema yanashangaza kwa mtu yoyote mwenye akili timamu, ila yanapozungumzwa na jinsia ya KIUME tena katika ya kimbeambea, inatia mashaka kidogo. Katika hali ya kawaida mwanaume unaumiaje mwanamke akitongozwa, mbona ni issue za kawaida sana aiseeh..? Fulani analiwa sana/kaliwa sana, mbona sioni chochote cha ajabu kiumeni?
Sijawahi kuvutiwa kutaka kumfahamu vizuri huyu PENSELI, ila sasa napata wasiwasi juu ya Manhood yake.
Dogo Penseli 4 jirekebishe, kama kuna wanaokutia moyo kwenye hizo harakati zako ujue kabisa wanakupoteza.
Ngoja nisubiri hayo mafaili mengine, nioshe macho.
Nipe muda kidogo 😅[emoji23][emoji23][emoji23]
Nipe feedback ya somo la jana, ulifanikiwa lakini
😂😂😂Bora wangesema mimi naumwa figo kuliko kusema napitia mademu humu, mana mimi napombe ni damudamu😅
Aiseeh, hii dunia ina people bwana[emoji1].Bora wangesema mimi naumwa figo kuliko kusema napitia mademu humu, mana mimi napombe ni damudamu[emoji28]
Nimewasamehe, ila jambo hili kutoka Moyoni kabisa sijalipenda.Wasamehe tu babu
Sawa sawaNipe muda kidogo 😅
Hahahahahaha,Nimewasamehe, ila jambo hili kutoka Moyoni kabisa sijalipenda.
Na it seems, Vijana wengi wa miaka hii hamjui kutunza Siri.
Kama mnaweza kuwa na Mahusiano humu, kwani ni lazima kila mtu ajue.
Jifunzeni kutunza Siri, kama mnaweza kuhadithiana haya vipi kama tulikuwa tuna Vibamia, si vyote mtaviweka hadharani jamani.
Tukiwa tuna comment hapa mtaanza kusema Angalia Kibamia hichi kinapita
Jamani heshimuni Privacy zenu
Naomba nikufanye desa basi😅Sawa sawa
Aisee🤣😂😂😁, selfika simama niwaue ma snitch😂🤣Kuna siku niligombana na Culture me akaona ili aniumize aongee uwongo huo🤷🏼♀️😁😁
Shoga angu leo toa yote ya moyoni maana wamezidi kukuonea[emoji16][emoji16]
Kwa kweli nimeumia sana, yaani miaka yote hii 78 bado watu wanataka kunichafua.[emoji23][emoji23][emoji23] babu kwako nimeshangaa kumbe humu hawaangalii km mzee au kijana wote tunaonekana wa hovyo tu
Ili niongezwe kwenye listNaomba nikufanye desa basi😅
sio kweli
Vijana wamekuwa wa Hovyo sana siku hiziHahahahahaha,