Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leteniii maubuyuuuu hayooo, mbeaa mie rohoo kwatuuu.
 
Hii Vita Ni kubwa Sana hahaha.

No sijamtaja kwa ubaya ur country!
Nilikua naamaanisha Ni mmoja ya source pia mpaka mmefikia huku kwenye level za kuzalilishana.

Maokoto hakika yanavutia mchuchu keep it up.
Wala mm sio source bro, ni mambo mengine. Issue ilikua ni umbea, wakawa wanatafutwa wambea, ndio umeona yamekuja yote hayo
 
Uduguuuu case inapindishwaaa, nilijua tyuuh wahusika lazima waepushweee, epuka kutapeliwa unapigwa changa LA macho.

JF ni pori sio kichakaa tenaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimeishtukia hii case kuna vitu vilimiss vya huyo aliyevujisha chat
 
Mbna habariii sinaaa? Mnakuwa na wachumba humu mie sijuiii?? Sijapentaaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani wewe hujapata list ya watu tunaotoka nao?? Baba umeupiga mwingi humo yani ni umetubadilisha hadi sio poa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Afu hadi HIV zimo na Gono
Kaswende na pangusa hazipooo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mangi unavyopenda pesa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hasira nakununulia iPhone 14 mme wangu wake wenza nao waige wakununulie ist
Aisee hiyo fanya iwe faster, hapa hadi mwili umesisimka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ntakuganda hutaamini macho yako
 
Shem leo account yako umempa coca [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huu muandiko wa coca
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuu hatujafikia hatua ya kupeana account, ni yeye huyo kachachukaaa.

Hujamjua? Ana njegekaa lake pambee. Mbna utasandaaa.
 
Chief lala ukiamka mida ya wanga tunachafua hali ya hewa tena
Ila mimi nashusha PDF namba 3 nikipewa ulinzi sasa hivi
Shushaaa tulioneee hapaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii Vita Ni kubwa Sana hahaha.

No sijamtaja kwa ubaya ur country!
Nilikua naamaanisha Ni mmoja ya source pia mpaka mmefikia huku kwenye level za kuzalilishana.

Maokoto hakika yanavutia mchuchu keep it up.

Afu mwamba kwenye chati kamtaja countrywide km ninavyomtaja mwenyewe kwa pozi “Kantri” nyie mambo haya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kantri me sio mtu wangu wala nini ni chit chat tyuu hizi tunasogeza masaa yaende, wanaotaka kuruka naye wao wawe huru na kishmundu zote nimewapaaaa!!!
 
Sasa shoga achag kunikimbia hujamaliza
 
Huyo dogo kaharibu kila kitu ile kuachana imekaa kikuda sana
 
Niitieee Bantu Lady tafadhariiiiii, naombaaa na yeye aje hapaaaa achangieee nenooo.

Sasa ndo kumekuchaaaa rasmiiiii, woyoooooooo
Kataaaaaa UNAFIKIIIIIIII.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuu hatujafikia hatua ya kupeana account, ni yeye huyo kachachukaaa.

Hujamjua? Ana njegekaa lake pambee. Mbna utasandaaa.

Leo shem alichachuka balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…