Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kubabaake wallahi nyie humu ndani ni nouma dah!!
Jamani leo mniambie shuhuli tuanze saa ngapi? Hawa wafuatao mjiandae mzigo ushashushwa na National 🤣🤣🤣🤣

Siamini mpk sisy Shunie naye yuko kwenye hiz drama duh!!!
Nimekazwa na countrywide nimeachwa, nimebebwa na Jack na nina bifu na Lenie mke mwenzangu?? Mengine nakuja kwanza ngoja niweke chaji ijae ili tuserebuke
Penseli wewe ni nyoka aiseee!! Kumbe una akili mbovu kiasi hiki??
😂😂😂Punguza munkali ndugu ndo maisha 😀ila inasikitisha sana
 
Kubabaake wallahi nyie humu ndani ni nouma dah!!
Jamani leo mniambie shuhuli tuanze saa ngapi? Hawa wafuatao mjiandae mzigo ushashushwa na National 🤣🤣🤣🤣

Siamini mpk sisy Shunie naye yuko kwenye hiz drama duh!!!
Nimekazwa na countrywide nimeachwa, nimebebwa na Jack na nina bifu na Lenie mke mwenzangu?? Mengine nakuja kwanza ngoja niweke chaji ijae ili tuserebuke
Penseli wewe ni nyoka aiseee!! Kumbe una akili mbovu kiasi hiki??
Pacha nime sikitika Sana, Mimi na mshamba_hachekwi was kukosa even Bebe moja 😂🤣🤣
 
Single mwenzagu Lenie tuna tokaje😂🤣
FB_IMG_16926108481912209.jpg
 
Back
Top Bottom