Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jana kuna list ililetwa na Nation kuna wanaume tunatoka humu mimi nilipewa Jack wewe ukapewa Graham na wengineo nao na watu wao

Nasemaaaajeeeeee jf sihamiiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣🕺🕺🕺🕺 Nyieee😁😁!!!

Hizi taarifa za Grahams namie mbona Kwangu sio mpyaaa halafu???? Bwahahahahahahahahah ebu ncheke kwanzaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Shida ya dogo uchwara, badala ya kuzingatia ya maana.
[emoji117]Kakalia story za watu kulana[emoji1787][emoji23]

Kulana sio dhambi ila kusambaza pic ndo kimenikwaza sana’a hiyo kulana hainiumi hata kidogo coz ndio kazi ya vikojoleo na uhakika wa hilo yeye hana ni tetesi tyuu!!

Me anipe sababu za yeye kuwapa watu pic zangu piem na huyo mke mwenzangu tunayepigana vijembe
 
Nasemaaaajeeeeee jf sihamiiiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1739][emoji1739][emoji1739][emoji1739] Nyieee[emoji16][emoji16]!!!

Hizi taarifa za Grahams namie mbona Kwangu sio mpyaaa halafu???? Bwahahahahahahahahah ebu ncheke kwanzaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Afu kutoka na mtu yeye kinamuuma nini anatumia chiu wake useme ataumizwa?? Me pic pic pic ndo namtaka huyo muhusika wa kusambaza pic zangu ruhusa kapewa na nani?!!!!
 
Nasemaaaajeeeeee jf sihamiiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣🕺🕺🕺🕺 Nyieee😁😁!!!

Hizi taarifa za Grahams namie mbona Kwangu sio mpyaaa halafu???? Bwahahahahahahahahah ebu ncheke kwanzaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kama brother Grahms kaonja basi ulipata Mwanaume haswaa huyo kiumbe ni .....🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️
 
Secret society waki mu approach mlipuzi National Anthem 🤣😁
FB_IMG_16924765999087154.jpg
 
Kama brother @Grahms kaonja basi ulipata Mwanaume haswaa huyo kiumbe ni .....🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️
Nasemaaaajeeeeee jf sihamiiiiii 🕺🕺🕺🕺!🤣🤣🤣🤣🤣!!

Mama Nai ushawekwa kwenye listttttttt🤣🤣🤣🤣 😁😁😁😂😂😂 lazima umepita Naeee🤣🤣🤣🤣🤣😂!

Nasemaaaajeeeeee Nipo nimekaa paleeee 👉👉🤣🤣🤣🤣
 
Nasemaaaajeeeeee jf sihamiiiiii 🕺🕺🕺🕺!🤣🤣🤣🤣🤣!!

Mama Nai ushawekwa kwenye listt 😁😁😁😂😂😂 lazima umepita Naeee🤣🤣🤣🤣🤣😂!

Nasemaaaajeeeeee Nipo nimekaa paleeee 👉👉🤣🤣🤣🤣
Washindwee mimi humu wote kaka zangu nyie ndio mawifii zangu😁😁😁
 
Back
Top Bottom