Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Attachments

  • IMG-20230721-WA0005.jpg
    IMG-20230721-WA0005.jpg
    142.1 KB · Views: 3
Ahaa kumbe nimesoma vibayaaaa doh mawenge hayaaa![emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
Nipo nimekaa paleeee [emoji117][emoji16]
Mwee afadhali safari hii nimepumzishwa
Sipo kwneye PDF

Ila Kuna watu hamjawahi pumzishwa,yaani bandika bandua watu wanaeatengenezea matukio tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kama wewe boss ledi
Watu sijui wanakuona mnyonge wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimewasamehe, ila jambo hili kutoka Moyoni kabisa sijalipenda.

Na it seems, Vijana wengi wa miaka hii hamjui kutunza Siri.

Kama mnaweza kuwa na Mahusiano humu, kwani ni lazima kila mtu ajue.

Jifunzeni kutunza Siri, kama mnaweza kuhadithiana haya vipi kama tulikuwa tuna Vibamia, si vyote mtaviweka hadharani jamani.

Tukiwa tuna comment hapa mtaanza kusema Angalia Kibamia hichi kinapita

Jamani heshimuni Privacy zenu
Hahahaaa eti kibamiaaa kileeee babu mbavuuu zanguuu miee🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂!!


Wakati umesifiwa una peleka motrooo hatareeeee 😁😁😁😊!

Si wakupongeze sasa tyuuuu🤣🤣🤣!
Mungu awarehemu tu no way!
 
Back
Top Bottom