Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
😁😁Hakika Mkuu, wamenikosea sana Babu yao
😁😁Hakika Mkuu, wamenikosea sana Babu yao
Mwee afadhali safari hii nimepumzishwa
Sipo kwneye PDF
Ila Kuna watu hamjawahi pumzishwa,yaani bandika bandua watu wanaeatengenezea matukio tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama wewe boss ledi
Watu sijui wanakuona mnyonge wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uni tag bana😂😂😂Haki ya nani tutazichapa kwa bluetooth😅
Aliye jisiribia ni National Anthem [emoji16][emoji16]
My ex upo?Na nilikuwa sehemu network inasumbua
Ningekuwa kwenye network nzuri ningezoa zote
Wao wanaendelea na umbea
Mi najizolea vocha tu.
Hapa wiki nzima nina bando la kucheka jf🔥
Pacha Ume Anza🤣😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Main Code ipo kwenye hiyo heading ya story "Sikulamba sukari" , unless hukufaulu Cuba.Nilisikiaga zamani [emoji3] Kwamba wahusika mmoja amefichwa nimezifuta km unazo nitumie nikamilishe uchunguzi
Tuma kwa basi😬Niko nanjilinjii 🤓😁, daslaaam sija wahi fika😁
Ukiondoka hapa na mimi naenda kulala🤕Uni tag bana😂😂😂
Ngoja kasimu kapate moto
Kwahiyo unataka Pombe ndiyo isingiziwe [emoji2957]
My ex upo?
Wee babu Afu mbona habari zako kukuhusu humu zipo nyingi sana ujue naona wameamua kutuchafua sisi tu😁😁😁😂😂😂!!Hakika Mkuu, wamenikosea sana Babu yao
Pole sana madamNimekosa zote hapa😂😂😂
Unachukua vitu vyote hivyoo aisee umeniweza ila mie akilini yake naichukua ubongo .😅😅😅😅😅 mie nimewahi kichwa na mikono
Yaaani sielewi ingekuaje tatizo wengi wamenijua leo😅Nipo naupiga mwingi kama DP world.
Hizi stori zingezuka kipindi kile tunaandikiana vimemo humu na kubebishana
zingetungwa stori za bongo movie 3🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani Mimi jobless, nimu amini mtu wa kusadika😁😁.Tuma kwa basi😬
Nacheka cheko kama loote😂Mpishi leo una raha unakazia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na huyo me ndo namtaka sana kwann yeye ajizibe?? Hapa huyo Penseli ilitakiwa aje alete walivyoanzana lazima kuna vitu naye alichangia
😁😁😁Afu habari zako kukuhusu humu zipo nyingi sana ujue naona wameamua kutuchafua sisi tu😁😁😁😂😂😂!!
Sema Nakuheshimu sana babu yangu najua panapo wazee hakukosekani busara!!
Barikiwa sana babuu yetruuuu🤠🤠😁😁!!
cocastic shougaaangu unapitwaaa hukuu sitaki kusutwa mimi njoo ujionee majengeakaaa 🤣🤣🤭!