Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,242
- 90,420
Ndio maana sie wengine,tuna angalia tuVijana wamekuwa wa Hovyo sana siku hizi
Ndio maana sie wengine,tuna angalia tuVijana wamekuwa wa Hovyo sana siku hizi
Wee ndo ulitakiwa kuwa mgonjwa wa Figo 😀😀😀kwenye like file
😂😂😂yaan sikomi nikikoma na left jf mazima mana ndio nilichofata humu😅
Bro Ume zungumza kwa uchungu, natamani tuandae PAMBANO mkutane😁" Huyu kapewa gono, yule anaumwa figo, yule ni single mother, fulani ana ngoma kamuambukiza fulani, yule kaliwa sana mwisho kachukuliwa na fulani, wanawake fulani ni low class..."
Hayo ni maneno ambayo huwezi kusema yanashangaza kwa mtu yoyote mwenye akili timamu, ila yanapozungumzwa na jinsia ya KIUME tena katika namna fulani ya kimbeambea, inatia mashaka kidogo. Katika hali ya kawaida mwanaume unaumiaje mwanamke akitongozwa, mbona ni issue za kawaida sana aiseeh..? Fulani analiwa sana/kaliwa sana, mbona sioni chochote cha ajabu kiumeni?
Sijawahi kuvutiwa kutaka kumfahamu vizuri huyu PENSELI, ila sasa napata wasiwasi juu ya Manhood yake.
Dogo Penseli 4 jirekebishe, kama kuna wanaokutia moyo kwenye hizo harakati zako ujue kabisa wanakupoteza.
Naam hapo wangepatia kidogo😅Wee ndo ulitakiwa kuwa mgonjwa wa Figo 😀😀😀kwenye like file
Hujanielewa wewe🤣😂😂😂
We umeshafuzu hauhitaji tena muongozo
Sina msaada na wew😂😂
Wamekupa kitengo sio 😂😂Naam hapo wangepatia kidogo😅
Tutawaacha na Jukwaa lao la SelfikaKwanza mi dizain ya wanaume wanaochekacheka kupitiliza nakila mwanamke humu mi nawawezeaa wapiii????🚮🚮🚮😏😏😏😏😏!
Huo moyoo sinaga kiukweli!! 🙌🙌🙌
! wee babu Sitrakii kabisa hio tabia ya kuwasambazia huu uongo!
Nipo napambana nahare yanguuu hukuuu nishakomaga muda sana!!
Afu Hizi habari nilishaambiwaga nikamuuliza mtu fulani Hum!!
Nielekeze nielewe😂Hujanielewa wewe🤣
Mr vouchaMkeka huo..
Hii PDF ni ndeeefu
Hakikisha unaisoma vizuri
Selfika snap it..... show it......




Hiii ni serious issue hawa watu hawana kazi za kufanya![]()








Nimeumia sana kuhusishwa na hayo mambo ya kipuuzi. Yaani at 78yrs? Kweli Vijana wamenikosea sanaNdio maana sie wengine,tuna angalia tu
😂😂Wew sijaona lako hebu niletee hapa 😀 hawaAiseeh, hii dunia ina people bwana.
Hapa jf nipo kurelax na ndio lengo langu kama upo makini huwezi kunikuta kwenye mada serious. Hata hii watu kunifikiria tofauti ni furaha kwangu😅Nielekeze nielewe😂
Jf nzito hii
Dadekii halafu akamalizia nilienda pm kwake kumuomba anisaidie matumizi ya mtoto😁😁😁Aisee🤣😂😂😁, selfika simama niwaue ma snitch😂🤣
Ujajua haileti maana kabisa kuwa center ya hizo mbanga zote ni mwanaume.Bro Ume zungumza kwa uchungu, natamani tuandae PAMBANO mkutane![]()

😀😀Dadekii halafu akamalizia nilienda pm kwake kumuomba anisaidie matumizi ya mtoto😁😁😁
Pole sana,wasamehe ila pia kaa nao mbali ,ama cheza kimedaniNimeumia sana kuhusishwa na hayo mambo ya kipuuzi. Yaani at 78yrs? Kweli Vijana wamenikosea sana
Nimewasamehe, ila jambo hili kutoka Moyoni kabisa sijalipenda.
Na it seems, Vijana wengi wa miaka hii hamjui kutunza Siri.
Kama mnaweza kuwa na Mahusiano humu, kwani ni lazima kila mtu ajue.
Jifunzeni kutunza Siri, kama mnaweza kuhadithiana haya vipi kama tulikuwa tuna Vibamia, si vyote mtaviweka hadharani jamani.
Tukiwa tuna comment hapa mtaanza kusema Angalia Kibamia hichi kinapita
Jamani heshimuni Privacy zenu



babu utaletwa na kiba chako wajukuu mafriji hayagandishi