Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa Kweli humu kuna id za kike zichunguzwe na hawa wanaojiita vidume kila mada za kike wapo nao tunatakiwa kuwa makini nao sana!!!!

Sijui nguvu wanazitoa wapi za kusema wengine, wakati wao ndo mashoga konki huko piem za wanaume wanafata nini?? Afu wakija huku wanavimba khaaaaaaaa!!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umaarufu unatafutwa kwa nguvu uduguuu, woiiiiiiih

Umekaribishwa selfika rasmii mwayaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Selfika woyeeeeeeeeee????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Countrywide badala ya kupiga kelele zisizo na msingi.
[emoji117]Wekeni ushahidi ili ukweli uonekane,
[emoji117]Maana msije mkawa mna Tafuta Kiki tu mzee.

Hakuna anayetafuta kiki hapa sawa? Afu acha shobo wangapi humu wanaambiwa mambo ya kutoka na watu?? Hujaona wakina Nuzulat, Aaliyah na Anne wakilalamika kuhusu hizi issue za kuchafuana?? Hao wote wanatafuta kiki??

Kuna muda ukinyamaza kwa vitu visivyokuhusu ni bora zaidi? Au wewe watu wakizushiwa habari za uongo unafurahi?? Mxxiewwww

Km vipi nipotezeee
 
Sasa hiyo sio njia ya kurekebishana kwa wanaume unakuja kunipondea mbele za mademu ili? Nichane kiume ila kama ulivyo sema kutaka kuwapa watu faida wape iyo faida huwenda watamiliki ata kiwanja goba cha mkopo
Dogo mm nimekueleza kutokana na comment niliyoona umeandika, nikashangaa how unaweza andika hivyo ikiwa unachofanya ni kitu ya ajabu.

Again, sihitaj tena pigo za kulumbana huku. Naamini umenielewa vizuri tu, wala uhitaji kutumia nguvu kwenye hili.
 
Sema kimeumanaaaaaaaa!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umaarufu unatafutwa kwa nguvu uduguuu, woiiiiiiih

Umekaribishwa selfika rasmii mwayaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na nipo sana mpk wenye uchungu wazae, wengine ni watu wazima ilifaa waitwe babu ila ukiwaona humu wanachofanya ni aibu!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom