National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Oyaaa nakubali
Oyaaa nakubali
Yaan konki iyo ukikopa hata umbea hukumbuki 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu na kausha damu yao mjiniiii.
tufanyaje sasa banaaa weyeee hapa nimekaribishwa na BJ kwanza kimoko cha kwenye gari 😅😅wahuni mnavimba tu😂
haha Umbea ni sunnah hajjatMimi Nilikopa kausha damu inanihangaisha
mwaka huu mambo ya umbea sio ishuzangu😀
Sio kusutana mkuu tunaambizana ukweli kuna good way ya kuongea na mtu akaelewa lakini unapoona njia iliotumiwa sio sawa kuna muda unatakiwa kuongea au kuwa serious na kuweka joking pembeni***** jf
Vidume live vikisutana dah
Hii iko wapi mzeiya??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu sema kweli.Na nipo sana mpk wenye uchungu wazae, wengine ni watu wazima ilifaa waitwe babu ila ukiwaona humu wanachofanya ni aibu!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
maswaaa 😅😅Hii iko wapi mzeiya??
Bora umekuja wewe ndo msema kweli nakuaminia hebu tuambie naanza kuandika location ya kutokea hap home 😂😂😂majaaa wanazingua kinoma 😅😅😅
that's the life ma nigga, quickie sio za kupuuzia😂tufanyaje sasa banaaa weyeee hapa nimekaribishwa na BJ kwanza kimoko cha kwenye gari 😅😅
Hebu nijuze vyedii nikakopeee, huenda umbea na ufukunyukuu nikaacha mazimaa.Yaan konki iyo ukikopa hata umbea hukumbuki [emoji23][emoji23][emoji23]
Sema ame sambaa Sana, nili ona kahama pia.maswaaa 😅😅
😀😀Ila coca unavoshangaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu sema kweli.
ungejua nilipo na haya mambo yenu naona mapicha picha tu 😅😅😅Bora umekuja wewe ndo msema kweli nakuaminia hebu tuambie naanza kuandika location ya kutokea hap home 😂😂😂
Iyo ukikopa marejesho Kila siku km ni elf kumi ni daily my wangu ukiamka winja winja kutafuta afu kumi ya watu 😀😀😀Hebu nijuze vyedii nikakopeee, huenda umbea na ufukunyukuu nikaacha mazimaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu sema kweli.
Kula maisha 😀ungejua nilipo na haya mambo yenu naona mapicha picha tu 😅😅😅
Shangaziiiii lazimaa nishangaeee, wee unaona ni kawaidaa sasa?[emoji3][emoji3]Ila coca unavoshangaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikakopeee mil 5, umbeaa na ufukunyukuuu baaaaass,Iyo ukikopa marejesho Kila siku km ni elf kumi ni daily my wangu ukiamka winja winja kutafuta afu kumi ya watu [emoji3][emoji3][emoji3]
nyie kule majungu, muone yatawafikisha wapi na nyumbani nimemuacha wife kalala 😅😅😅Kula maisha 😀