Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa wanapata nini?? Afu mingine midume kabisa nayo inashadadia umbea humu yaani tafrani aiseee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utasema yoteeee na badooooo.
Kumbe wamekufikiaaa na wee, nilijua tyuuh ni suala LA muda. Weraaaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasemajeeeee mtafukuanaa hadi mjue unafikii hauna umbaliii, na ninawa zoom tyuuuh.

Mie yangu machooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Waje tyuuu nimejaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umefikiwaaa uduguuuh,
Nacheka kwa sautiiii, woiiiiiiiih

Jana ulikuwa wapi?? Nawe unaswampa mno [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Elewa neno KIFINYIO [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
pole chief kumbe watu wana wivu namna hii
Mimi pia na vivocha vyangu nimekua victim [emoji16]
Nibalaa
Nawee utulizaneeee mfyuuuuuuh, victim ya nyokooooooo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo nachekaaa hadi bandama, zinasema please wait. Uwiiiiiih
 
Umeshindikana chief mpaka unakopeshwa.

Ulitumia medani zipi za kimapambano aise
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mbona nawakopa wengi sana na hakuna anae chomoa mzee.. naongeaga kama yule Carlos wa kwenye movie.. so naonekana wa maaana.. kuna wengine wananipea .. sema nini uwe mtu wao.. hata siku kama huna michakato ya kupiga unawanunulia msosi au kilaji.. mbona utafaidi
 
Mpk wanaume wana vigroup wameungana na wadada kazi yao ni umbea tu!!! Wanakuja piem wanatongoza afu wanasambaza chat na pic zako!! Kuna wengi nimewaona huko piem wanaleta

Tena hii niko serious ladies kuweni makini piem mtaabika nawaambia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu kapatwaaaa, nachekaa mwenziooo, khaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…