Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,471
Pacha tuna bifu🤣😂😂🤣😂, kani rudishie njiwa wangu🤒Jamani nimeacha rasmi kugombana kuna mtu anakasirika anatamani ningekua karibu aniwashe makofi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila anayeona me mke mwenzie au adui yake kivyovyote vile aje aniquote na aseme shida yake nini?? Ili tumuombe Mello atupe uwanja tupigane jf iingize mapato [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]