Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,675
- 39,092
Nakwambia simfahamu mtu humu ila wao wananifahamu mpaka figo zangu 🤷🏼♀️Dah Hadi wewe kigorii🤣😂
Nakwambia simfahamu mtu humu ila wao wananifahamu mpaka figo zangu 🤷🏼♀️Dah Hadi wewe kigorii🤣😂
nakuja mama tupige story

Pole chief ndizo habari za mjini🤣🤣🤣Unanionea kabisa cheaf
Siwezi kabisa angaika na mtu JF.. mizigo ya kumwaga kitaa why nije ku bet humu.. izo sio akili aisee 😅😅tatizo mnaweza jikuta mko kuanzia wawili! Maana wa bebe wenyewe wa jf wachache na kwa siku anaweza kula mitongozo hata kumi uko pm toka kwa njemba tofauti tofauti
Jamani kipenzi usiwe hivyo baba😅😅😅 basi na mie sitaki
😂😂😂😂Mimi yalisha nikuta kuna member tulizoeana kweli matani sana na vikopa jukwaani kumbe ilikuwa kosa bila kujua hata hatukuwa tunatakana akaanza kupelekewa faili langu eti wananijua ni Single mama ninayetafuta huruma 😁😁
Wachaa umeongea aisee hadi basiSiwezi kabisa angaika na mtu JF.. mizigo ya kumwaga kitaa why nije ku bet humu.. izo sio akili aisee 😅😅
Ile message ya muamala wa jezi kumbe imekereketa watu
Ingekuwa tunadate ningeianika hapa?
Nyie
Msije sababisha watu tukakosa msaada humu.
Mjep amekuwa ndugu yangu
Siyo jezi tu!tangu kipindi Nimepata msiba wa baba yangu alinisapoti sana.
Bado ananisapoti mno, siwezi kuhesabu.
Mjep usiwasikilize matajiri hao
Jezi ninayo sina?



Snap it
😔😔😔😔😔😪🤧Jamani kipenzi usiwe hivyo baba
Usichoke kusoma pm zangu na kuzifanyia kazi mkuu.Jambo gani Tena ghafla hivo😀
Mmbaki salama acha nipambanie kombeWachaa umeongea aisee hadi basi
😁😁😁😂😂😂😂




Mm sitaki kusikiaga habar zangu wewe kama mtu kakuambia kitu kuhusu mimi kaa nacho uko uko usiniambie kabisa mkuu afya yangu muhimu sana kuliko hao waganga njaa mkuu 🥱Pole chief ndizo habari za mjini🤣🤣🤣
Mimi siogopi mtu ila naheshimu mtu atakama yeye akinidharau mimi nitamuheshimu ila akivuka sana mipaka yangu ambayo nimeiweka lazima nimuonye in good way
Nilichokiona humu,kuna watu wa humu wana ka group huko PM,
😀😀 Had Figo tenaNakwambia simfahamu mtu humu ila wao wananifahamu mpaka figo zangu 🤷🏼♀️