Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,543
- 8,818
Sasa ukipata acess unafanyaje mzee.
Nikuwatembezea tu jalamba
Sasa ukipata acess unafanyaje mzee.
Mimi siogopi mtu ila naheshimu mtu atakama yeye akinidharau mimi nitamuheshimu ila akivuka sana mipaka yangu ambayo nimeiweka lazima nimuonye in good wayUkweli lazima tuwape watake wasitake km unaogopa ni wewe bro
Kumbe ni kamati ya roho mbaya 😂Wanapenda zile hekaheka itakuwa, kuna mmoja juzi kavumilia kashindwa kaamua kusema, “Hiyo amani mliyonayo mashabiki hatupendi, sio km hatuwaoni ni vile tunajificha kwenye kona tunawacheck” Aiseee nilicheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😅😅😅 kwaiyo ndio mtoso kumbe .. ile sawaaaNilifuta kitambo sikaagi na piem za watu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mzee wa totoz
Nakupenda wewe maua mrembo wangu kipenzi changuAcha wivu kama huna wakupiga naye story wewe nenda tu ukaselfike mwenyewe hadi ulale mwone kila saa unalike tu story za wenzako , siumwite upendaye na mashem mchart
acha nibaki na Unique Flower wangu anatoshaa.. ananiachia vyote nakula tu maisha 😅😅Sasa ukipata acess unafanyaje mzee.
Nikuwatembezea tu jalamba
tulia wewe
Mwachiluwi ndo mzee wa totoz🤣🤣🤣mzee wa totoz
nyingine tena chief
hahaa,Kile kigroup chako tutakilipua soon [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha ujinga wewe mie hapa nikomeeacha nibaki na Unique Flower wangu anatoshaa.. ananiachia vyote nakula.tu maisha 😅😅
Acha pipo zipelekeane moto mchuchu
😅😅😅 kumbe na wewe nimekukosaaa.. dah😬😬😬😬 mwaka wa taaabu huuAcha ujinga wewe mie hapa nikomee
Being ya figo ni 1m usd 😃😁SIMBA bingwa [emoji23]View attachment 2723299
Wapi hana group.mnamuogopa bure ana miaka 9 wewe umempita mingapi sijui amepewaje fulsa yakucheza cheza humu . Akirudia niambieKile kigroup chako tutakilipua soon [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inavyosubiriwa hiyo selfie kwa hamu ni balaa shem
Itapigwa screenshot juu kwa juu
Hapan kwa kampani ya kuchart na umbeya aisee nipo tutampata wako tu soon😅😅😅 kumbe na wewe nimekukosaaa.. dah😬😬😬😬 mwaka wa taaabu huu
Unanionea kabisa cheafMwachiluwi ndo mzee wa totoz🤣🤣🤣
tatizo mnaweza jikuta mko kuanzia wawili! Maana wa bebe wenyewe wa jf wachache na kwa siku anaweza kula mitongozo hata kumi uko pm toka kwa njemba tofauti tofautiacha nibaki na Unique Flower wangu anatoshaa.. ananiachia vyote nakula.tu maisha 😅😅