Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Kumbe ni kamati ya roho mbaya 😂Wanapenda zile hekaheka itakuwa, kuna mmoja juzi kavumilia kashindwa kaamua kusema, “Hiyo amani mliyonayo mashabiki hatupendi, sio km hatuwaoni ni vile tunajificha kwenye kona tunawacheck” Aiseee nilicheka![]()
Itashangazwa mwaka huu,
Wataona amani inazidi kutawala 🤣




