Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,223
Achana nae, anachokonoa ili nifunguke but amechelewa sana. Hawanipati tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wizo jiheshimu mume wangu sio andunje ni super tall
Emu selfika wakuone ulivyo mzuri wizo wangu
Sirudii tena dada, nilipata counselling ya nguvu nusu mtu alie[emoji23]Chaaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]
Jamani
Ndo wanavyouongelea uzi wetu pendwa?
Sasa muke ya mzungu,hiyo ID ni ya Boss wako kuhangaika na battle za selfika kweli!
Hapo sweet Mangi umenifurahisha na iwe hivo π₯°π₯°π₯°Nimepata counselling kutoka kwa cute, hutaona tena nafanya hivyo. Nilipokosea I'm sorry[emoji119]
iPhone 14 ipo babe Usijali πππAchana nae, anachokonoa ili nifunguke but amechelewa sana. Hawanipati tena
Na iPhone 14 nimesamehe, japo roho inauma[emoji23]
πππ Unatoa siri zangu sasa?!! Ndio uache ili nisilie tenaSirudii tena dada, nilipata counselling ya nguvu nusu mtu alie[emoji23]
So yameisha, nawapuuza
Weee usinambie.....mbona mie najitafuniaga tuMwenzio babe yuko mbali, vinatiaga hamu hivo πππ
Endelea km ule muujiza haujatokea πππWeee usinambie.....mbona mie najitafuniaga tu
YeahHapo sweet Mangi umenifurahisha na iwe hivo [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
[emoji23]iPhone 14 ipo babe Usijali [emoji23][emoji23][emoji23]
Haijirudii tena[emoji23][emoji23][emoji23] Unatoa siri zangu sasa?!! Ndio uache ili nisilie tena
Kwa kweliSirudii tena dada, nilipata counselling ya nguvu nusu mtu alie[emoji23]
So yameisha, nawapuuza
π€£π€£π€£π€£πππ Unatoa siri zangu sasa?!! Ndio uache ili nisilie tena
Inasikitisha sanaNimeelewa, Ila nilitaka kutoa elimu kwa wanaume wote wambea wa humu na umbea wanaofanya ili wajirekebishe na kujifunza maana ni aibu kubwa sana.
But haiwezekani tena
AfadhaliNimepata counselling kutoka kwa cute, hutaona tena nafanya hivyo. Nilipokosea I'm sorry[emoji119]
Nimwambie dogo asiende kupeleka hela kwa Nengatronix?? πππ[emoji23]
Yeah lenye mafwezaaaa yake ya pensheninaona unawinda li sugar daddyπ
Hapo kwa Kantri nishalia sana na maombi ya novena juu!!! Ss hivi nilisema siongei kitu chochote, nitakua nakuangalia tu!!π€£π€£π€£π€£
Kumbe unaliaga?
Wewe kama mimi..
Mwanaume ukitaka umuweze lia.
Yaani hutumii nguvu,mwenyewe analainika.
Subutuuuuu nakula kamoja kwa afyaaEndelea km ule muujiza haujatokea πππ
ππππInasikitisha sana
Halafu wanaume ndo wambea sana kuliko hata sisi dada zao
BFF naomba kwa hili nikachekee chemba friji langu haligandishi ππππππSubutuuuuu nakula kamoja kwa afyaa