Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,791
Hi
hivinumemsikia boss alichosema
hivinumemsikia boss alichosema
Hellow mama mchungaji
😂😂😂😂😂Hi
hivinumemsikia boss alichosema
Camera ya mbele imekufa ndio shida😂😂hahaa
geuza camera
Fanya jambo tajiri akikasirika tutaondoka hapa online oh oho😂😂😂😂😂
Nimemskia ndio nageuza camera hapa
Hello hubbyHakika hili halina ubishi
Niselfike mara ngapi, tajiri ana gubu bana woiiiiFanya jambo tajiri akikasirika tutaondoka hapa online oh oho
Boss anuniwi wewe selfika kama una mchumu hiv af mtagNiselfike mara ngapi, tajiri ana gubu bana woiiii
Hello sweetheartHello hubby
Mwenzio babe yuko mbali, vinatiaga hamu hivo 😀😀😀
Hofu kwako tu kipenzi changuHello sweetheart
Mzima wewe

Nimepata counselling kutoka kwa cute, hutaona tena nafanya hivyo. Nilipokosea I'm sorryHeshima iliyonayo hii Id,sikutegemea ntaikuta kwenye battle
Tena huku Selfika tuliopo sisi vijana wa hovyo![]()

Nimeelewa, Ila nilitaka kutoa elimu kwa wanaume wote wambea wa humu na umbea wanaofanya ili wajirekebishe na kujifunza maana ni aibu kubwa sana.Utajichosha bure Mkuu
Sidhani kama tutakuelewa
Tena umekuja kipindi hiki showoff tambo zimepungua zimepungua huku.,tofauti na kipindi uzi umeshika chat kila mtu anauangalia.
Una makusudi wewe
Achana nae, anachokonoa ili nifunguke but amechelewa sana. Hawanipati tenawizo jiheshimu mume wangu sio andunje ni super tall
Emu selfika wakuone ulivyo mzuri wizo wangu

Sirudii tena dada, nilipata counselling ya nguvu nusu mtu alieChaaaah
Jamani
Ndo wanavyouongelea uzi wetu pendwa?
Sasa muke ya mzungu,hiyo ID ni ya Boss wako kuhangaika na battle za selfika kweli!
