Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Hapo uko vizuriiNipo naupiga mwingi kama DP world
Naomba picha Lee
Hapo uko vizuriiNipo naupiga mwingi kama DP world
Naomba picha Lee
mubashara? subiri hapo hapoNataka ya bila kufutwa nikuone mubashara
Ko selfika kuna vijana wa hovyo?? 🤣🤣🤣🤣Heshima iliyonayo hii Id,sikutegemea ntaikuta kwenye battle
Tena huku Selfika tuliopo sisi vijana wa hovyo 🤣
Chaaaah😂😂😂😂💔Ko selfika kuna vijana wa hovyo?? 🤣🤣🤣🤣
Kuna mwingine kule jukwaani alisema ukitaka mbususu za bure nenda kwenye uzi wa selfika 😂😂😂😂
Weka Mkuu
Naomba sasa LeeHapo uko vizurii
Baadae nawapa kitu hot and heavy😋❤️Umetupiga chenga ya mwili
Watu wana macho mazuri.Wa kwanza
Sibanduki hapa leoBaadae nawapa kitu hot and heavy😋❤️
Alafu wewe una macho mazuri zaidiWatu wana macho mazuri.
Juzi nilikosa zile vocha😂Sibanduki hapa leo
Haya, niokote😂Alafu wewe una macho mazuri zaidi
Pole za kwako nimekuhifadhiaJuzi nilikosa zile vocha😂
Nashukuru😍Pole za kwako nimekuhifadhia
Zitakufikia popote ulipo usiwaze
Huyo anapenda battle nenda kwenye nyuzi zake kuna vitu vya hovyo na anatukana wala haogopi!!! Machalii wa R hawana nidhamu za woga 😂😂😂😂😂Chaaaah😂😂😂😂💔
Jamani
Ndo wanavyouongelea uzi wetu pendwa?
Sasa muke ya mzungu,hiyo ID ni ya Boss wako kuhangaika na battle za selfika kweli!
Muache asomeMama mchungaji![]()
Marahaba totoo, hujambo?hahaa...
wanamuita binti vidimpo