NdiyoooBoss ilo tu?
NdiyoooBoss ilo tu?
limepitaNdiyooo
hivinumemsikia boss alichosema
Baby wako kanilavuuu[emoji23][emoji23]Mbna anamtaka babee wangu tenaa?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hellow mama mchungaji
😂😂😂😂😂Hi
hivinumemsikia boss alichosema
Camera ya mbele imekufa ndio shida😂😂hahaa
geuza camera
Fanya jambo tajiri akikasirika tutaondoka hapa online oh oho😂😂😂😂😂
Nimemskia ndio nageuza camera hapa
Hello hubbyHakika hili halina ubishi
Niselfike mara ngapi, tajiri ana gubu bana woiiiiFanya jambo tajiri akikasirika tutaondoka hapa online oh oho
Boss anuniwi wewe selfika kama una mchumu hiv af mtagNiselfike mara ngapi, tajiri ana gubu bana woiiii
Hello sweetheartHello hubby
Mwenzio babe yuko mbali, vinatiaga hamu hivo 😀😀😀
Hofu kwako tu kipenzi changu [emoji3059]Hello sweetheart
Mzima wewe
Nimepata counselling kutoka kwa cute, hutaona tena nafanya hivyo. Nilipokosea I'm sorry[emoji119]Heshima iliyonayo hii Id,sikutegemea ntaikuta kwenye battle
Tena huku Selfika tuliopo sisi vijana wa hovyo [emoji1787]
Nimeelewa, Ila nilitaka kutoa elimu kwa wanaume wote wambea wa humu na umbea wanaofanya ili wajirekebishe na kujifunza maana ni aibu kubwa sana.Utajichosha bure Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sidhani kama tutakuelewa[emoji1787]
Tena umekuja kipindi hiki showoff tambo zimepungua zimepungua huku.,tofauti na kipindi uzi umeshika chat kila mtu anauangalia.
Una makusudi wewe