YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Naona njia nyingine zote inataka kushindikana, ngoja nijaribu hii[emoji848]
Hadi niipate
Najuta kubet hiyo 14 ninavyodaiwa mpk nitakonda mbona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona njia nyingine zote inataka kushindikana, ngoja nijaribu hii[emoji848]
Hadi niipate
Mdogo wangu mwenyewe😍😍
Nisamehe tu sweetheart nililewaSemaa kweliii!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mfipa???Uyo nenda nae pole pole ana majin ya kifipa
Nachotaka iPhone 14 iwe mezani palee ASAP
Kila la heri na babe wako coca, nakuombea mahusiano mema.Mbna anamtaka babee wangu tenaa?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna namna shem
Inabidi ubebe lawama tuu
Siyo kwa ulinzi huo
Yaani sifurukuti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] safarii tunayooooo.Mume wake anamuuma na kukaa uke wenza hataki!!! Na me kumuachia siwezi nataka nichafue passport kwa kusafiri na babe Jack [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema kweliiiiNdio hivo shem anamtaka Valentina kasema hakutambui [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Ntaua watu mwaka huu, tena kwa mafungu.Utakoma mwaka huu udugu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mfipa???
Huyu ni wale walioshika kkoo kwa sasa. Nadhani unawajua
Cute
Kila la heri na babe wako coca, nakuombea mahusiano mema.
Ntafanyaje sasa
Mbna mie sijalewaa?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nisamehe tu sweetheart nililewa
Haya relaaaaaaxxxxx!!!Kila la heri na babe wako coca, nakuombea mahusiano mema.
Ntafanyaje sasa
Ngoja kwanza, leo kwa mara ya kwanza namuunga mkono coca aishi vyema na mume wake. Wasigombane[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Wewe friji haligandishi, haya wapi nimetaja kabila langu??
Naruhusiwa kutoa marks?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] safarii tunayooooo.
Ntaua watu mwaka huu, tena kwa mafungu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]