Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Utajichosha bure Mkuu😂😂😂Huku nitaondoka ila nitatoa elimu kidogo, Kuna mengi naona hayapo sawa.
Hiyo elimu ni kwa wanaume wenzangu pamoja na wanawake. Kuna kitu nimeona hakipo sawa
Sidhani kama tutakuelewa🤣
Tena umekuja kipindi hiki showoff tambo zimepungua zimepungua huku.,tofauti na kipindi uzi umeshika chat kila mtu anauangalia.


