BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 8,426
- 21,270
Wizo mbona unamfokea BABA CHANJA?Arudi kwa kweli mwenyewe ananikera anavyotukana humu, nimeongea hadi nimechoka[emoji119][emoji119]
Bora na wewe useme
Wizo mbona unamfokea BABA CHANJA?Arudi kwa kweli mwenyewe ananikera anavyotukana humu, nimeongea hadi nimechoka[emoji119][emoji119]
Bora na wewe useme
Heshima iliyonayo hii Id,sikutegemea ntaikuta kwenye battleNashukuru kwa kumwambia tukisema wengine tunaonekana tunatetea wengine
Utajichosha bure Mkuu😂😂😂Huku nitaondoka ila nitatoa elimu kidogo, Kuna mengi naona hayapo sawa.
Hiyo elimu ni kwa wanaume wenzangu pamoja na wanawake. Kuna kitu nimeona hakipo sawa
Sijambo jiraniMarahaba jirani, hujambo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jeshi la mtu mmoja from Mbinga
Coacah akeeeh!
Shostee rudisha makali tumekumiss.
Au Melo alikuhonga zawadi ya kuacha ugomvi[emoji23][emoji23]
Wee mkuu naomba ile links ya JF taptalk, plz nitumie, hii hapa haifunguii pichaa. [emoji120][emoji120]Mpima maembe wa selfika [emoji847]View attachment 2718469
Wizoooo huyoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wizo mbona unamfokea BABA CHANJA?
Afadhali Melo ametusaidia kunyoosha huyu mtoto aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mello yuko active na mie, nikikosea utaona text tsup "unataka nn wee mtoto? Mbna unawapa majaribu modes??
Bas natuliaa kimyaaaa. Nimekanywaa na nimekanywikaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usisahau zawadiNina salamu zenu nyingi kutoka mashariki ya mbali,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woiiiiiih,Afadhali Melo ametusaidia kunyoosha huyu mtoto aisee
Ulikuwa kama umetoka sehemu isiyo na wakubwa.
Mdogo wangu ondoa hilo saa linakuumizaSnap it
Limenikaba hapa nataka kudondoka😂Mdogo wangu ondoa hilo saa linakuumiza
Melo apewe ulinzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woiiiiiih,
Nimetuliaa sahiviiii
Ila mdogo wangu uko vzrLimenikaba hapa nataka kudondoka😂
Na tusemee Ameeen!!Melo apewe ulinzi
Maxence Melo asante kwa kutunyooshea huyu mtoto
Utakuwa mshenga wanguIla mdogo wangu uko vzr
Mashemeji wanipe mahali ya kutosha tu
Unaenda kutalii mwenyewe.Njooni tuselfike