Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,976
Ulilala?wee, sema kweli...
Ulilala?wee, sema kweli...
Pole, madesa yamepita😢nilitingwa na majukumu😅
em tingisha madesa
Sina jipya kabisa😛tuendelee kuswampa jf😂 au una jipya?
😂😂😂 kumbe chips zinatengeneza shapenaona unatengeneza lishepu😋
Nyash ipo😂we kula uone utavokua na nyash😋
anunue azuma kwanza, muhimu sana hiyobaada ya hapo sasa unalitafuta lishangazi😋
nimekumbuka Carraso anakaa Ununiohaha
sio lishangazi la mbagala rangi tatu mzee....
Unahisi sijafika huo umri, hapa yenyewe nataka niende Mahakamani kudai nyongeza ya Umri.babu unajishusha sana😅
Uzee ni fahari, ila usiwe Mzee wa hovyo tu kama wale wengine 😅usijizeeshe bana unapenda visukari na viharusi?😂
Ka airtel ama 😌 📲🤙sijambo naomba kavocha dada yangu kipenzi😅
As u wish..aisee, basi tu acha😅
Hongkong selfika chief
Muda mzuri huuNgoja giza liingie
Mkaribishe mgeni kwanzawe ni ke au me