Asante kwa hips hilo😋😌Limenikaba hapa nataka kudondoka😂
Hayo hayo ya zamani madamSina jipya mkuu😌
Seelfika tuone lile jichoAsante kwa hips hilo![]()
Nakaziaa Ms eyesSeelfika tuone lile jicho
Dada mwenye macho yake mazuri
KabisaNakaziaa Ms eyes
Wee mkuu naomba ile links ya JF taptalk, plz nitumie, hii hapa haifunguii pichaa.![]()
Baadae😂Hayo hayo ya zamani madam
Usituache hivi hivi
😂 wakiitwa wenye macho mazuri mimi nitatoka sasa?Seelfika tuone lile jicho
Dada mwenye macho yake mazuri
Umetupiga chenga ya mwiliBaadae😂
Wa kwanza😂 wakiitwa wenye macho mazuri mimi nitatoka sasa?
Mkuu,Mimi naomba selfie yako
Upo,?Mkuu,Mimi naomba selfie yako
ngoja ni download camera 360 chaaaap! niifute fute vzrMkuu,Mimi naomba selfie yako
🤣🤣🤣 wizo jiheshimu mume wangu sio andunje ni super tallVipi leo mbona mnaparangana na andunje wako?
Wizo baba chanja anataka kukera watu, anataka kila mtu aishi km anavyotaka yeye wakati wengine watoto wa mbwa hayo maisha hawayawezi 😂😂😂😂Wizo mbona unamfokea BABA CHANJA?
Nataka ya bila kufutwa nikuone mubashara