Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,314
Chai mbaya😂😂Wazee huwa hatusemi uongo ujue 🤪
Nimebakiza miaka 2 tu nigonge 80 🤪
Chai mbaya😂😂Wazee huwa hatusemi uongo ujue 🤪
Nimebakiza miaka 2 tu nigonge 80 🤪
🙏🏽Nime kukumbuka Sasa🤗
Mkuu hii mbna inaonekana ni Version ya Spanish, inagomaa, nitumie ya English.
Upo?Upo,?
Nambie Poppy wetu 😂Mama mchungaji [emoji39][emoji39][emoji39]
Dada wa Chuga 😍Hellow mama mchungaji
ndo hiyo hiyo tu mkuu, wewe install uoneMkuu hii mbna inaonekana ni Version ya Spanish, inagomaa, nitumie ya English.
Plz nitumie Version ya English,
Inagomaaa, kila niki install, sijui nijaribu kesho.ndo hiyo hiyo tu mkuu, wewe install uone
Mtandao au wewe ushapiga vitu sahv [emoji847][emoji847]Inagomaaa, kila niki install, sijui nijaribu kesho.
Labda leo mtandao hauko sawa
Mtandao, maana inagoma hatariiiMtandao au wewe ushapiga vitu sahv [emoji847][emoji847]
Unapatikana kwa manati sikuhizi mama mchungaDada wa Chuga [emoji7]
You're missed dear
Uliniquote sikuona
Nipo Dada yanguUnapatikana kwa manati sikuhizi mama mchunga
Mtakuja kuamini siku moja, ngoja nipate mpiga picha niwaoneshe vile nimekula chumvi nyingi 🤪Chai mbaya😂😂
Unataka kusema yule Hanii anayetafutwa na Zuchu ndiyo mimi🤗80 mbona bado kabisa tuna nafasi ya kukuita haniiii haniiii
cha mtu huliwa na mtu babuuUnataka kusema yule Hanii anayetafutwa na Zuchu ndiyo mimi🤗
Isije kuwa ni mbinu ya kutaka kula Pension ya Babu yenu tu, na hivi ilitangazwa na Mhe. Rais kuwa itatoka mwezi Septemba 🤪
Wazee wa forester mnapita sasa 😂Dr Lizzy tuongeze basi mafuta twende kule basi 😌😌😌😌View attachment 2719619
C.c raraa reree boss Dr Lizzy ana upepo wa subie .. sema hii
Pita naked
Subiri hapohapo Mkuu,.Pita naked