Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,654
- 16,020
Ntakupasua 🤣🤣🤣🤣🤣 we jishaueBFF naomba kwa hili nikachekee chemba friji langu haligandishi 😂😂😂😂😂😂
Nimekumbuka mecheka sana’a
Ntakupasua 🤣🤣🤣🤣🤣 we jishaueBFF naomba kwa hili nikachekee chemba friji langu haligandishi 😂😂😂😂😂😂
Nimekumbuka mecheka sana’a
Ni aibu kubwa kwa wanaume kuwa wambea kukaa katikati ya dadaz na ku-gossipInasikitisha sana
Halafu wanaume ndo wambea sana kuliko hata sisi dada zao
Ila leo umenichekesha hivi unajua nikikumbuka tu nacheka peke yangu 😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌Ntakupasua 🤣🤣🤣🤣🤣 we jishaue
Yeah ni pesa au simu, the choice is yours[emoji23]Nimwambie dogo asiende kupeleka hela kwa Nengatronix?? [emoji23][emoji23][emoji23]
J3 naanza novenaHapo kwa Kantri nishalia sana na maombi ya novena juu!!! Ss hivi nilisema siongei kitu chochote, nitakua nakuangalia tu!!
Nawe unaliaga na nani humu? [emoji23][emoji23][emoji23]
We unatakaje boss wangu?? 😂😂😂Yeah ni pesa au simu, the choice is yours[emoji23]
🥰🥰🥰🥰😘💋J3 naanza novena
Achana naoNi aibu kubwa kwa wanaume kuwa wambea kukaa katikati ya dadaz na ku-gossip
Nilipanga kuwaweka sawa na kuwataja wote waache huo ujinga. But haiwezekani tena
Again, nilipokosea I'm sorry my dada
Ni aibu😂😂😂😂
Naliaga acha kabisaHapo kwa Kantri nishalia sana na maombi ya novena juu!!! Ss hivi nilisema siongei kitu chochote, nitakua nakuangalia tu!!
Nawe unaliaga na nani humu? 😂😂😂
Me naliaga mpk nakuwa mwekundu, hata simu sipokei!!!! Nitashinda nalewa, Hasira zikiisha namtafuta babe wangu nitajituma hiyo siku km shangingi la magomeni 😂😂😂😂Naliaga acha kabisa
Nikiona battle ntashindwa naanza mapema kulia
Jamaa mdhaifu mno kwenye machozi.
Yupo busy anapambana na hali yake kutafuta pesa..hashindi humu
Atashindaje huku 🤣mwishowe awe Mbea bure 😂
Yesu anakaribia kurudi 😂😂Ni aibu
Kizazi kimeingiliwa hiki🤣
Eti shangingi la magomeni🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Me naliaga mpk nakuwa mwekundu, hata simu sipokei!!!! Nitashinda nalewa, Hasira zikiisha namtafuta babe wangu nitajituma hiyo siku km shangingi la magomeni 😂😂😂😂
Me situnzi hasira za muda mrefu napenda sana kucheka, niikimmiss na yale maujinga yetu basi namtafuta
Huenda unalijua, huyo last born wangu mnafanya naye kazi huko mjini 🤪hili shati na koti mbona kama nalijua
We chizi ujue😆😆😆😆😆😆 shauri yakoIla leo umenichekesha hivi unajua nikikumbuka tu nacheka peke yangu 😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
Babu unatupiga hadi sisi wajukuuHuenda unalijua, huyo last born wangu mnafanya naye kazi huko mjini 🤪
Nakubali Kaka🤗
Nime kukumbuka Sasa🤗😒
Wazee huwa hatusemi uongo ujue 🤪We chizi ujue😆😆😆😆😆😆 shauri yako
Babu unatupiga hadi sisi wajukuu
80 mbona bado kabisa tuna nafasi ya kukuita haniiii haniiiiWazee huwa hatusemi uongo ujue 🤪
Nimebakiza miaka 2 tu nigonge 80 🤪