YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Yaishe na nyie mpaka nipigwe huku niliko ndio mfurahiii [emoji16][emoji16]
Wa kukupiga hayupo emu tupe bas au ulitaka kumrusha roho shem humu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222]
Yaishe na nyie mpaka nipigwe huku niliko ndio mfurahiii [emoji16][emoji16]
😅😅😅😅 kumbe kama mie.. ni kugonga tu likeDah wamenifungia kureply nimekuja kushangaa shangaa selfika 😂😂😂😂
Hatari sanaa....😅😅😅😅 kumbe kama mie.. ni kugonga tu like
Mie inaelekea mwezi wa pili .. nimepigwa pin 😅😅Hatari sanaa....
🔥🔥🔥🔥🔥 hatari sana... cha ukorofi.. hips flani hivi yani 😋😋😋🍯🍯🍯Na picha
hiyo mali safi kabisa kama haijazaa vile mzee ..Ebhanaeeeeeeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥😋
Mchumbaaa, mie soon, hebu nifanyie mchakatooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui naona ila nimefungiwa pm hata sielewi🤷🏼♀️The Finest piece of art by God himself, mashallah
Mie situmii vyote hivyo.. njoo basi tukae meza moja mpendwa 😊😊Kama unakunywa pombe hatutaweza kukaa meza moja maana mimi na harufu ya pombe na sigara tuna ugomvi 😁😁
Haipaswi kuwa hivyo. Watu mkishakua na relation, mkiachana mnaachana kwa amani tu. Mtu aliyekupenda na kukupa muda wake wala hupaswi kumdhalilisha wala kumsema tena vibayaMe tukiachana watajua tu kila jukwaa siwezi kukubali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222]
Umependeza sana mpendwa upo kama ka binti kigori.... ni 😋 🍯Wala hii nimepiga leo kwani kuzaa ndio kuzeeka mkuu nilimepungua kwa sasa 😁
Sijui naona ila nimefungiwa pm hata sielewi[emoji2372]
😏😏😏😏 huoni aibuYupo hapa anabinuka binuka tu na sarakasi za china 😀😀
Thubutuuu sijabinuka wala nini shogaree niambie hujatoka tu hosp jamaniMissy Gf ukimaliza kubinuka njoo nakuita shogare [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndiomana hujaonekana hospital kumbe uko busy kuruka mijudo?!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haipaswi kuwa hivyo. Watu mkishakua na relation, mkiachana mnaachana kwa amani tu. Mtu aliyekupenda na kukupa muda wake wala hupaswi kumdhalilisha wala kumsema tena vibaya
Mpendwaa umenusa moshi wa bange nini 😅😅😅... nimezoooma hiyo picha dah! una vidole vizuri kweli vya miguuni.. nikiona vidole vya hivyo elimu yangu inaniambia ndani kuna nini.. Pia una vidole vizuri vya mkononi vya kushika shika hela 😊😊😊Yaani leo nataka nifanye fujo humu ikiwezekana niweke sura kabisa niko na stress vibaya mnooo kuna mtu amenionea mimi😬😬
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] huoni aibu
Sijui nilichofanya bali wameifungia pm yangu huu ni uonevu nisaidieni kuwaita hao wenye Jf yao😌Ohoooo umewafanya nn moderators
Sijui nilichofanya bali wameifungia pm yangu huu ni uonevu nisaidieni kuwaita hao wenye Jf yao[emoji18]