Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,654
- 16,020
Ni mchungu huyu sijui mpare huyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani huyu anakupenda ila maokoto ndo hamna
Ni mchungu huyu sijui mpare huyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani huyu anakupenda ila maokoto ndo hamna
Thubutuuu sijabinuka wala nini shogaree niambie hujatoka tu hosp jamani
Ni mchungu huyu sijui mpare huyu
Achana naye huyu tutapata mwingine 😅😅😅😅Pesa inamuuma huku roho inataka kutoka akifikiria lile shepu anabaki analiota [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndugu Equation x si uchane wallet ya nn kujibana
Ebu shika hilo paja la kuku vizuri, lisije likakuniga 😀😏😏😏😏 huoni aibu
Update Chrome yako kwenye play storePm naona zinaingia ila nikijaribu kufungua inatokea hiviView attachment 2715367
Usinisemeshe 😒Ebu shika hilo paja la kuku vizuri, lisije likakuniga 😀
Hiyo figure kama binti wa kinyaturu kimbulu hiiivii 🔥🔥🔥😋hiyo mali safi kabisa kama haijazaa vile mzee ..
cha ukorofi Nuzulati au hiyo picha wakati upo secondary 😊😊
Nimefanya ila imegomaUpdate Chrome yako kwenye play store
Basi tumia app kwa mudaNimefanya ila imegoma
Lakini pia unaweza enda uka clear cache na storageNimefanya ila imegoma
Ongeza maarifa 😀Pesa inamuuma huku roho inataka kutoka akifikiria lile shepu anabaki analiota [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndugu Equation x si uchane wallet ya nn kujibana
Moyo wangu unacheza cheza hautaki kusukuma damu 😀Usinisemeshe 😒
Achana nao sio lazima usukume damu unaweza sukuma hata chapatiMoyo wangu unacheza cheza hautaki kusukuma damu 😀
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuzinguana mkishaachana sio bana.Km sijakubali kuachika je? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani unipotezee muda wanaume wote humu niwakatae kwaajiri yako afu tuachane kwa amani?? Thubutuuuuu!!!!!!!!
Ongeza maarifa 😀
![]()
Tafakuri ya kimaisha
Nazungumza na wale wenye miaka 35+ Jaribu leo utoke peke yako, na uende kwenye mazingira tulivu, kama yanaruhusu kupata kinywaji au kula matunda yoyote fanya hivyo. Jitafakari ulipotoka, mpaka hapo ulipo sasa. Jiulize haya maswali; leo hii nikifungwa gerezani ni nani atakuwa karibu na mimi...www.jamiiforums.com
Achana naye huyu tutapata mwingine [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Usinisemeshe [emoji19]
Ukipitia hizo changamoto ni nani atakuwa na wewe karibu? baharia au 😀 😀 😀Mxxiewwww!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuzinguana mkishaachana sio bana.