YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Mimi mjanja wa kariakoo yeye mshamba hapajui ata msimbazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjanja wa soweto na kabwe huyo ooh
Mimi mjanja wa kariakoo yeye mshamba hapajui ata msimbazi
Ngoja nakuchekesha si unajua akitoka Irene uwoya unafwata wewe boss ngoja leo nije nikuchekeshe tu
Soweto anapotea pale mwanjelwa anaenda anapita kila siku lakini anapotea njia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjanja wa soweto na kabwe huyo ooh
Akaloge mimi naenda upareni uko ugweno miliman kuroga tuone
Ahahahaha tumia tuzo point zakoMwenzio choka mbaya hapa nasubiri vocha za Mjep [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Soweto anapotea pale mwanjelwa anaenda anapita kila siku lakini anapotea njia
Basi nitaenda usangi ukoooHuko ndiko anakotokea huyo mwenye mzigo wake, unajisumbua tu
Ahahahaha tumia tuzo point zako
Ahahahaha na hakuna anaweza iga wizi wa paleMwanjelwa kuna vibaka pale kkoo hawaingii
Umasikini wako ndio umekufikisha hapo 😆mi mbona sijawahi kutumia iphone😅
Angalau ukashangae shangae ata vimijusi na vitumbili vinavyotimiza uzazi wa mpango 😀 😀Tutapanga siku nitakushtua twende mtu wangu
Sio aitel kkweli tuuone 🤣nimeshika ka samsung lakini, ina viwango kuliko iphone😅
mi mbona sijawahi kutumia iphone[emoji28]
Ahahaha arusha unakàaa olkokola uko kijijin unasema unakaa arushaukiishi arusha hamna mkoa unakushinda😂
Ahaahahah wewe cute akupendi uuoni?afu tunapendwa wakina Cute Wife wanatuganda😋
Sio aitel kkweli tuuone [emoji1787]
😀 😀 inatakiwa ya wawiliNimetamani kuzurula Mikumi, tuandaeni tour twende na Missy Gf afu tunakaa hata 3days zen tunarudi. Hapo vipi shemela