Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Juice freshUnatumia nini?
Juice freshUnatumia nini?
Nasubiri ya kwako hapa
Tuachie sisi single brotherNdio nina mke mkuu 😅😅
Poleeee mchumbaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ebu tupatie ile praiveti jeti yako tufanye mambo 😀 😀 😀
Kama unakunywa pombe hatutaweza kukaa meza moja maana mimi na harufu ya pombe na sigara tuna ugomvi 😁😁Tukikaa meza moja nyuki si watakuwa wengi 😀 😀
Mswahili sana mbona madem anaopita nao wanamsemaga mchafu sana ana nuka miguu sema hawaja celebrate af mtu huyo anakuja kwenye hadhara kusema anawaheshimu wanawake kesho atamuomba msamaha kajalNdio hivyo tena
😀 😀 😀 hakuna matataIle ya kienyeji inayotumia mafuta damu au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eh mie na carrassco putin ni maex[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaa!!!
Mambo ya Range. Bongo stress uzitake tu mwenyewe. Celebrities wanavuana nguo kwa vitu walivyopeana kwa hiari yao
ha ha ha tutawailiana kwa zoom 😀Kama unakunywa pombe hatutaweza kukaa meza moja maana mimi na harufu ya pombe na sigara tuna ugomvi 😁😁
Eh mie na carrassco putin ni namaex
Eh ila sasa hatujawahi onana ni wanyuma ya keyboardUsinambie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya haraka kabla watu hatujashiba tukasinzia hapaYaani leo nataka nifanye fujo humu ikiwezekana niweke sura kabisa niko na stress vibaya mnooo kuna mtu amenionea mimi😬😬
Yaani leo nataka nifanye fujo humu ikiwezekana niweke sura kabisa niko na stress vibaya mnooo kuna mtu amenionea mimi[emoji51][emoji51]
Yaani leo nataka nifanye fujo humu ikiwezekana niweke sura kabisa niko na stress vibaya mnooo kuna mtu amenionea mimi[emoji51][emoji51]
Acha tu ndugu yangu sijui leo ninywe kwa mara ya kwanza nileweee 😅😅Kumekucha kumekucha
Wewe lete kitu naked kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Emu nambie nani kakuonea tumchape
Acha tu ndugu yangu sijui leo ninywe kwa mara ya kwanza nileweee [emoji28][emoji28]
Relaaaaaaaxxxxxx!!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Astaghfirullah astaghfirullah astaghfirullah dunia imefika mwisho.
Hapa sio pa kusikitika tena