Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Acha tu ndugu yangu sijui leo ninywe kwa mara ya kwanza nileweee [emoji28][emoji28]

Kunywaaaaaa lewaaaaaa kabisaa
Emu nambie bas nani huyo kakuudhi yupo humu?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpe makavu live
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wamejipanga kweli kukunyakulia mume udugu ko umesalenda??

Nimecheka hapo kwenye dildo khaaaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeshindwa mie uduguuu. Naachia ngaziii.
 
Na man city uduguuu, hebu fanyaa hivyoooo

Afu nina umbea umenikaba uduguu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani mgonjwa mpk doctor anataka kunipokonya simu situlii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Afu nina umbea umenikaba uduguu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani mgonjwa mpk doctor anataka kunipokonya simu situlii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguuuu fanyaa kuuweka kulee tunakopashana manjegeka ya JF, nasubiri hapa mwenziooo.

Serious.
 
Udugu ana kitu moyoni kukitoa hataki ndo namwambia na mimi sio vizuri kuhifadhi vitu unaweza kufa
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
😁😁😁😁
 
Udugu ana kitu moyoni kukitoa hataki ndo namwambia na mimi sio vizuri kuhifadhi vitu unaweza kufa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afanye kukitoa kabisaaa, selfika iko kupokea kila aina ya njegeka la JF, afanye kuwa huru kutupaa content wajaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Afanye kukitoa kabisaaa, selfika iko kupokea kila aina ya njegeka la JF, afanye kuwa huru kutupaa content wajaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaishe na nyie mpaka nipigwe huku niliko ndio mfurahiii 😁😁
 
Afanye kukitoa kabisaaa, selfika iko kupokea kila aina ya njegeka la JF, afanye kuwa huru kutupaa content wajaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Akitoe tupo hapa wa kukazia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom