National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Usivuke mstari mwekundu.. utajilaumu🤬🤬🤬🤬🤬🤬
Usivuke mstari mwekundu.. utajilaumu🤬🤬🤬🤬🤬🤬
Aihh kwahiyo weekend hii hunywi bia [emoji57][emoji57] sijapentraaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara nitasikia wamenitungia stori kuwa nina mimba ya mtu humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu Mimi habari sina[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
…….🧐Siku za nyuma kulikuwa na yule mchagga aliyekuwa anakupenda na ukasema kweli mnapendana kumbuka hiyo thready maana sijamshika jina ila ulikuwa unadai ni unampenda sina uongo au mlikuwa mnataniana na sipendi uongee kitu nataka uongee ila ni ukweli ila sikumbuki post yenyewe wewe ndio utamkumbuka ila kingine huna ID ingine ukawa unanipondea au kuna kitu nimekukosea hadi uwe unanijibu hivyo napenda kujua . Maana leo nimeanza kupokea matusi sio mazuri , kingine umewahi sikia nipo na mtu humu , halafu cha mwisho umewahi nifahamugi mie umeniona mahali popote ukaambiwa huyu ni unique flower nataka kufahamu hilo .
Duuhnataka puccy ya nini? Mimi mwenyewe ninayo
I beg you to stop...😬😬😬 sema nataka nitoe fundisho ... wasirudie , naandika kama utani.. ila mtajionea wenyewe hapa...
[emoji23][emoji23] ni muoga ila nikichukia siogop kitukuu cha mtume
Watakufa mie siui.. ila watukufa mmoja baada ya mwingine.. mambo ya kijinga kabisa wanafanya.. nimechukia sana.. kuwachafua watu nimelala nao iilhali hata wengine sijawai waona.. kiasi kwamba wana waharibia cv hao watu ukute wangepata mchumba humu.. ila wakisha onekana wamelala na mie mgonjwaa wanapoteza network.. mie kuchafuliwa mwenyewe sawa ila wasi wahusishe wengine.. maana najua nafamilia yangu haya mataka taka hayawezi fika huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ko utawaua?? Kweli umekasirika
Nilimuonea huruma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji3061] maskini mama mchungaji Heaven Sent hata kusikia sauti yangu au yake achana kuonana tu haijawai.. tokea..
Hawa watasepa mmoja baada ya mwingine ni kikundi cha watu..
Nimekuwa mualifu kiasia gani hadi kutembea nawe mdogo wangu dah [emoji17][emoji17][emoji17]....
Naishi nyumba ya vioo 😂Lioooongoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jaribu tuone
Next week utalipiza....ugua poleeee mwambie shemdarling akukumbatie upate jotroooBia zimenikosa nimekasirika [emoji23][emoji23][emoji23]
SIJAPENTRAAA wala nini!!!
Na sisi tuliweka picha ya pamojaWatu wa humu kuunganisha dot hawajambo sana ndio maan nikikutana na mtu hapa jf hakuna anae jua labda aje aseme yeye na akija kusema yeye aweke na picha ya pamoja
Be humble mkuu mambo madogo sana hayo shida hawakuli wakashiba af wanatucheka sisi tunao kula kwa shemeji tukashiba
Duh potezea hawashibi nakwambia nipo paleeeeNa sisi tuliweka picha ya pamoja
Ndo hizo wametengenezea picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi wananichekesha
Maana siku napata hizo stori yaani nilicheka sana.
Kumbe hadi jobless mimi nafuatiliwa aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mdogo wangu!
Kumbe mie utani utani watu wanajua kweli..
Kitu kibaya sana kuishi kwa hisia, humu JF sijawai lala hata na mwanamke mmoja na haitakaa ikatokea hilo.. lakini watu wanalazimisha tu..
Sema nini mdogo wangu Darlin .. mie nitamalizana nao kwa namna yangu.. nayo ijua.. wamenichafua ile mbaya.. alafu wengine wanafiki kinoma wana chati na mie hapa shenzi zao kabisaa
Ninyonyeshe mtoto 🤣🤣[emoji38][emoji38][emoji38]
Umesema unyonyeshe nini[emoji23]
Haya msalmie junior
Imeniuma kweli, alafu walivo wapuuzi nilipo pita nimeacha grid ya taifa... wanawachafu watu bure tu..Nilimuonea huruma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikasema heri hata sisi tumekutana mara kadhaa tukapiga stori
HS hajui hata inafananiaje
Dada mtu mzima kama huyu jamani!
Heri wadeal na sisi watoto [emoji23]
Ngoja nitupie kale kapicha ka Mlimani City Sema hawachelewi kusema tumevaa sare na tumefanya yetu.
Hawajui hata kama ndugu zetu ndo waliotupiga picha[emoji1787][emoji1787]
Hahaha picha ya Audi kipindi kile umekuja kuniona chuo wakati wa msiba inataka watoa watu roho,
Si waombe lift nao wapande[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Watakufa mie siui.. ila watukufa mmoja baada ya mwingine.. mambo ya kijinga kabisa wanafanya.. nimechukia sana.. kuwachafua watu nimelala nao iilhali hata wengine sijawai waona.. kiasi kwamba wana waharibia cv hao watu ukute wangepata mchumba humu.. ila wakisha onekana wamelala na mie mgonjwaa wanapoteza network.. mie kuchafuliwa mwenyewe sawa ila wasi wahusishe wengine.. maana najua nafamilia yangu haya mataka taka hayawezi fika huku
😂😂😂😂😂😂Ule wimbo Joti anasema, kumbe marafiki nyoka, wengine ni makenge, wengine ni mimamba[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio unao apply huku JF.
Pole bana, ukisema u deal nao uta deal na wangapi, raha ya haya mambo mtu anajitekenya halafu anaacha mwenywe[emoji23][emoji23][emoji23]
Labda km unanifananishaa, rudisha kumbukumbu zako vizuri na umpate muhusika sahihi umtakae,Siku za nyuma kulikuwa na yule mchagga aliyekuwa anakupenda na ukasema kweli mnapendana kumbuka hiyo thready maana sijamshika jina ila ulikuwa unadai ni unampenda sina uongo au mlikuwa mnataniana na sipendi uongee kitu nataka uongee ila ni ukweli ila sikumbuki post yenyewe wewe ndio utamkumbuka ila kingine huna ID ingine ukawa unanipondea au kuna kitu nimekukosea hadi uwe unanijibu hivyo napenda kujua . Maana leo nimeanza kupokea matusi sio mazuri , kingine umewahi sikia nipo na mtu humu , halafu cha mwisho umewahi nifahamugi mie umeniona mahali popote ukaambiwa huyu ni unique flower nataka kufahamu hilo .