Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,312
Watu wachache kuna mzee mmoja na maind sana hapa jf nilikuwa nipo bise na jukwaa la siasa kaanza kutmbea pm za watu kunizushia ya kunizushiajf imekuwa ya kishenzi kupita maelezo.. mie huko nimeambiwa nachezea watoto wa kike na kuwatelekeza ukiwaukiza nimalala nani hawajibu 😅😅😅😅pa hovyo sana humu