myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Aisee.....Siku Kama ya leo mwanangu angekuwa anatimiza miaka MIWILI Kama mama yake asingekula nauli[emoji276][emoji2299][emoji2359][emoji2213]
Aisee.....Siku Kama ya leo mwanangu angekuwa anatimiza miaka MIWILI Kama mama yake asingekula nauli[emoji276][emoji2299][emoji2359][emoji2213]
Jiraniiiii
Hujambo jirani, jioni njema jirani 🤣Jiraniiiii
Niko poa jirani.Hujambo jirani, jioni njema jirani 🤣
[emoji1787][emoji1787] hapana nitanunua but nitamuambia uichukue
Ninajua vizuri umetumwa na masikini wenzio mmezoea kudanga ndio maana kukicha unawaza wanaume urimbukeni unakusumbuaWewe kweli nampenda Mjep kama ameoa aseme mie nampenda namkubali hakuna humu ambaye nitakuwa naye zaidi yako babe wangu yaani ujue hapa natamani nikamwogeshe tu mpenzi wangu katoka kazini kachoka nimfanyie massage na mafuta ya olive oil huku akiwa anapewa maneno yenye hisia kali ya mapenzi wanguu kweli mwambieni i love him so much
Nawahi kivuko jirani, naelekea shambani kwangu..Niko poa jirani.
Unawahi wapi jioni hii jirani
Jirani matunda usisahauNawahi kivuko jirani, naelekea shambani kwangu..
Asante Mkuu,Ubarikiwe.Napenda wanawake hustlers, nitakuungisha hiyo ya 1kg japo sikuwa nahitaj. Weka njia za malipo nione nafanyaje kulipia
Ahahah unachekesha sana unapotaka kula wewe wenzio washakula mda tumekuachia mfupa uangaike nao nyama tumemaliza cheza kwa step usije jikuta nakulipua vibaya 😂😂😂😂Humu walizingua saivi nimeamua kuwa mpenzi wangu ni kuchart kama hanipendi wa sasa basi mie nipo tu kama wewe
Asante Mkuu,Ubarikiwe.
Unaruhusiwa kumnunulia hata rafiki,ndugu ,hata Mimi mwenyewe ni ruhusa kuninunulia[emoji23]
Malipo napokea kwa namba yangu ya simu ama wakati wa delivery.
🤣🤣🤣🤣Mhmm!! Shoga taratibu cake umeambiwa inakuja kwangu, mbona unajipigia promo mwenyewe tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂🙌
Ya shemeji 🤣🤣🤣 ahahahahaha
gari yako hiyo bro?
Mpishi tulikumiss😍
Nipo sweetheart mtoto maua😘🌺🌺Mjep kama huji saivi ninavyokuita basi nitajua kuwa una mtu humu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amesema alikuwa hana uhitaji
Na hajasema inaenda wapi.
Usijali,kama ni yako utaipata tu.
Shem shem[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Maua shosti angu kweli umezama na kutoka huwezi, na jana ule uzi ulitaka ujue nani yupo na Mjep