Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ile kweli imekaa kichangamsha genge

Nilicheka nilitaka kuzimia

Comment sasa ndo kabisaa

Sijui ulicopy wapi ile stori.

Kumbe mko serious
Nilijua mnaact
Mungu awasimamie[emoji3589]

Mimi napenda kufurahi afu usichokijua mimi ni mcha Mungu. Sema kuna muda roho mtaka fujo ananivaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Afu kukosa Kantri kuna kituko kingine nilitaka kukileta mvunje mbavu
 
Unapenda hadi mifugo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Cake ya kupika mwenyewe kuila hainogi
Raha ya cake apike mwingine.

Yote kuanzia ng’ombe, mbuzi, kuku mpk bata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bila kusahau majirani na vichaa wote wa mtaani kwao
 
Mimi napenda kufurahi afu usichokijua mimi ni mcha Mungu. Sema kuna muda roho mtaka fujo ananivaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Afu kukosa Kantri kuna kituko kingine nilitaka kukileta mvunje mbavu
Uje nikupige power bwa mdogo . huyo roho taka fujo haitokufata tena 😅😅
 
Haya leta mafile yote uniwekee hadharani na picha zote na kila kitu unachojua ila.kama niuongo block itakuhusu soon
😂😂😂😂 wewe uniblock mimi?

Makubwa hivi Unique Flower nani asiye kujua?

Wasumbue hao hao ambao hawakujui ila sio mimi ila sio mimi😂😂😂

Sio wewe ulie kuwa unalia huko pm kuwa ujibiwe uwezi rudia tena et bado unampenda 😂😂😂😂

Nikwambie kaa kimya tu fanya fyooo 😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe uniblock mimi?

Makubwa hivi Unique Flower nani asiye kujua?

Wasumbue hao hao ambao hawakujui ila sio mimi ila sio mimi[emoji23][emoji23][emoji23]

Sio wewe ulie kuwa unalia huko pm kuwa ujibiwe uwezi rudia tena et bado unampenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nikwambie kaa kimya tu fanya fyooo [emoji23][emoji23]

[emoji15][emoji15][emoji15]
 
😂😂😂😂 wewe uniblock mimi?

Makubwa hivi Unique Flower nani asiye kujua?

Wasumbue hao hao ambao hawakujui ila sio mimi ila sio mimi😂😂😂

Sio wewe ulie kuwa unalia huko pm kuwa ujibiwe uwezi rudia tena et bado unampenda 😂😂😂😂

Nikwambie kaa kimya tu fanya fyooo 😂😂
ni mwendo wa kulipuana tuuu 😅😅😅
 
Back
Top Bottom