Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Totoo uhali ganiau sio?? utanikumbuka😅
Totoo uhali ganiau sio?? utanikumbuka😅
Ulitaka nimchukue nimbebe 😂😂aisee, na wewe unaangalia tu?
Kwa kipi kwanza hunipendi unanitania nimeenda kwa mume mwingine nikabadilishe hali ya hewa mtu huku hueleweki mie hapana kweliau sio?? utanikumbuka😅
naskia wameniibia unique flower wangu
Pole jamani totoo.hali ni mbaya nimeachika hapa😅
Ngoja nikuambie pole kwa yaliyokukuta mimi nimewekwa kama kipozeo tu maana mume mwenyewe simuoni hapa na wala hajajakosa langu ni lipi
wewe ulikua wapi mpaka naibiwa pisi
Weekdays tunalala mapema, sasa hivi sipo free sana kama vp saa 4 usiku hivi njoo tuendelee. Nitahakikisha mpaka unalegeaAiseee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28] pole sio makosa yako
Asijali kurudi ni ndoto bora niende kwa yule mzeeTajiri kamwaga mpunga wewe ndugu yangu apeche alolo, lkn usijali atarudi kwako ss hivi huyo maua
Sasaakizira wewe upo mtoto mweupeee😋
Me niko upande wako ujue 😂nyie ndo mnamjaza upepo
Sio wanguMe niko upande wako ujue 😂
Na wako pia🥰Sio wangu
Sasa haupo wa nani eti??Na wako pia🥰
Mwaka huu ni wenu mwendo wa kuibiwaUlitaka nimchukue nimbebe 😂😂
Napenda wanawake hustlers, nitakuungisha hiyo ya 1kg japo sikuwa nahitaj. Weka njia za malipo nione nafanyaje kulipia[emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo uniungishe basi Mkuu,Binti yenu nisife njaa.
Ngoja narudiiiiSasa haupo wa nani eti??